Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,711
- 13,404
Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba..
Karuka, na kudai tuwe marafiki.
Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane.
Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo
Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na alinipanga kuwa kichwa kinamuuma katoka hospital, kufika geto kwake nakuta wapo wawili yeye na dada yake....
😁🙂↕️🙂↕️🙂↕️🙂↕️
Nimepiga nao story wote vizuri tu, sasa Muda huu nimewahaga nafata charger yangu ya simu na Mapocho pocho.
Oya nipeni ushauri Maamuzi Magumu hapa ni yapi ? nirudi kusalandia ? Na sijahakikishiwa bado mahusiano kama kanikubalia. 🥴

Mrejesho: Asanteni Kwa Ushauri, Mtego ulikuwa kweli.
Kiukweli ningefanya maamuzi ya kukurupuka, huwenda kwa sasa ningekua na adui moyoni ambaye kala vya kwangu na kukimbia.. https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-wa-mbinu-ya-kuluka-mtego.2287176/ Baada ya washauri kuniambia ni achane na huyo pasua kichwa hakupendi, basi nikaamua kufunga...
www.jamiiforums.com