msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  2. Frustration

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, mwenyekiti wa kijiji na halmashauri yake yatakiwa polisi kwa kosa la kwenda kuhoji wafugaji.

    Nimehamishia jukwa la siasa
  3. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kufahamu vilipo viwanja vya basketball Iringa

    Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi. Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo Mi nipo IRINGA MJINI. Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
  4. XII Tz

    JamiiForums Tanzania Msaada PC yangu imekumbwa na virus

    Habari wakuu Pc yangu aina ya Lenovo imekumbwa na virus hali inayo sababisha kuwa nzito, movie ku-scratch, kujitype yenyewe mfano kwenye search bar yani mambo ni mengi mno. Nimejaribu mara kadhaa kuipiga window lakini sijapata mafanikio yoyote bado hali ipo vilevile naombeni msaada wenu...
  5. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye Ndiga wanao ujua mfumo wa malipo ya uegeshwaji wa magari na changamoto zake naomba msaada

    Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi; 1.Uharaka katika kufanya malipo. 2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika. 3.Usaidizi wakati wa kuegesha 4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi...
  6. Untaste Bug

    JamiiForums Tanzania MSAADA: PC yangu HP PROBOOK 635 AERO G7 imezima

    Habari za majukumu wanaJF, Kama title isemavyo, PC angu imezima leo na imeanza kwa kujiandika maneno hayo kama inavoonekana kwa picha then maandishi mekundu ambayo haikuchukua muda ikazima a haiwaki tena. But taa ya POWER na kitufe cha CAPS LOCK nacho kinawaka uki press Powe button. Naomba...
  7. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nachanganyikiwa, nimekuta Mijusi wakubwa geto

    wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa...
  8. Rdj Shibo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary

    Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary Natanguliza Shukrani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania WATOTO WANAOFANYIWA UKATILI, JE WANAPATA MSAADA ILI WAPONE?

    Jiulize mtoto 1. Aliyebakwa 2. Aliyelawitiwa 3.Aliyetelekezwa na wazazi 4. Aliyekataliwa 5. Aliyeshuhudia baba akimpiga mama. 6. Aliyeshuhudia mama akimpiga baba 7. Aliyeshuhudia baba na mamá wakipigana 8. Aliyeshuhudia baba na mamá wakitukanana,kutoleana maneno machafu n.k 9. Aliyeshuhudia baba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama ya msingi wa ghorofa moja

    Habarini ndugu zangu, Naomba kujua makisio ya gharama ya msingi na first floor kwa square meter. Naelewa gharama ya msingi inatofautiana na mambo mengi,ila kwa sasa nataka kujua makisio tu ya karibu na gharama halisi. Asanteni sana kwa mda wenu.
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mashirika yanayotoa msaada wa visima vifupi kwa wananchi mmoja mmoja Wilaya ya Mvomero

    Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si salama kwa Afya zao,kwa kuwa mara nyingi wanachangia na mifugo.Maji haya kwa hiyo si salama na ni...
  13. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya Kutumia Submeter ya Umeme

    Hapo pichani ni Submeter ya Umeme niliyoikuta kwenye nyumba ya kupanga Ina namba ya mita yenye tarakimu sawa na ya TaNeSCo. Naomba kufahamu Inafanyaje kazi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kutokwa na jasho jingi

    Habar gan wakuu Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D)

    Hi wana jf. Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D). Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu. Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida...
  16. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania MSAADA; hivi kwenye ule wimbo wa Nandy na Maua Sama wanaposema " siku hizi bila beat naenda ata akapela" walimanisha nn?!!

    Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich! Merry Christmas 🌲
  17. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania MSAADA. APP BZURI YA KUSET UKIPIGIWA SIMU ITAJE MAJINA YALIYOSEVIWA KWENYE SIMU

    Habari za leo wakuu Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita Na namna ya kuiset Nawasilisha Merry christmass
  18. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    Wakuu poleni kwa majukumu! Ndugu zangu naombeni msaada wenu mwenye connection ya kazi naomba aniunganishe,hakika nimechoka kujitolea now ni mwaka 3 najitolea bila ajira.nina experience ya laboratory technician, laboratory analysis, quality control, quality assurance na microbiologist .kama kuna...
  19. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye biti la wimbo wa kovu ulioimbwa na moni centrozone ft Chidi Benz.

    Msaada tafadhali mp3 NB: beat na sio vocal
  20. B

    JamiiForums Tanzania Noti hii ya dola ya Marekani bado inatumika?

    Jamani hii bado inatumika msaada.
Back
Top Bottom