msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami?

    Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
  3. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    Mwenye kujua namna ya kunlock hiyo MiFi anisaidie
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

    Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Pamoja na mshahara anaopata anajitahidi kupambana nje yakazi na...
  5. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Nani anajua nauli ya kutoka Kigamboni mpaka Kisiju

    Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua. Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie Ni issue muhimu sana Nimefanikiwa
  6. ALENI WAKALA

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Ushauri, Kazi, Mtaji, au Vifaa vya Kusikilizia

    Habari wanajamii, Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿, Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar

    Habari wakuu Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar. Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha, anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma.
  8. Full charge

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu fixed account

    Habari za muda huu wakuu, Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno. Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo naenda kutoa pesa achilia mbali makato yao hii hali inanifanya pia nitimize malengo kwa muda mrefu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: 2grfse (Crown Athlete), inalia knock kwa mbali sometime hailii kabisa na iko fresh, engine power haipungui.

    Habari wadau, Nimekwama hapa, mana hakuna check engine light inayowaka. Gari inalia knock kwa mbali lakini nikiwa naendesha, huwa inapotea, ila nikisimama naanza kusikia mlio wa knock. Saa nyengine nikiwa idle, hakuna mlio wa knock kabisa, engine inanguruma vizuri tu, na sometime ikiwa idle...
  10. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la Car Wash Dar

    Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash. Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA; ushauri wenu nahitaji kupanga chumba

    Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu. Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Terms and conditions za UTT AMIS naziona kama kandamizi, msaada kwa anae elewa zaidi anifafanulie

    Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS. Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania WB Yaikopesha Tanzania Bilioni 284 Za Kuimarisha Jinsia na Kukabilina na Ukatili

    Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana. Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa. Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇 --- Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
  14. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  15. new level

    JamiiForums Tanzania Msaada gharama za ujenzi wa nyumba ya floor moja ikiwa boma bila finishing

    Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
  16. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gmail

  18. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ku-renew password akaunti ya Yahoo email

    Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa NACTE

    Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa nacte (AVN) na kwa sasa nashindwa kupata password ya kuweza ku log in katika account yang na nna uhitaj sana wa kupata AVN number kwa yeyote mwenye uwezo tafadhal naomba anisaidie
  20. Titus Christian Katunzi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
Back
Top Bottom