msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa nikifikiria kuanzisha Project ya utengenezaji wa Bahasha za kaki (Vifungashio)

    Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio. Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa. Naomba kwa amabae...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - natafuta Dawa ya mafua ya kuku

    Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
  3. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua akaunti kwa ajili ya kudownload games za ps4

    Salaam wakuu, Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4. Mashine yangu ni ya games za akaunti. Naomba kuwasilisha.
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nina tatizo la Tonsils

    Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara. Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba yake ilipotea

    Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea. Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo...
  6. JamiiForums Tanzania WAJUVI NA WATAALAMU WOTE NAOMBENI MSAADA HAYA NI MAWE YA AINA GANI?

    Nimeokota mawe haya yapo kama chupa, swali ni mawe au ni chupa?
  7. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Dkt Mollel ni msaada mkubwa kwangu, anaitendea haki Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake. Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke. Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo. Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria Bure Forever—Kwa Nini Wengi Hawataki Hii Itokee?

    ...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

    Habari zenu wana JF. Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena. Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba. Likichomoka lina maumivu...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtaala mpya Kwa level ya Advance

    Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025. Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha wakuu
  12. JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu chanjo ya manjano(yellow fever )

    Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano. Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo nasikia tetesi kwamba ninatakiwa kukaa siku kumi baada ya chanjo ndio nisafiri jee inawezekana kuondoka...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na kisheria

    Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho. Walidanganywa wakaripot vituo vya kazi kisha kupewa hela kidogo tu kama kiasi cha tsh 250,000 kwa maelezo...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa kurejesha rangi kwe simu ZTE 75 blade

    Ilitokea tu ikawa na rangi hii sasa sijui paliguswa wapi. Msaada jinsi ya kurejesha iwe na rangi halisi badala ya hii ya black and white kama zamani
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada please kama kuna Dawa nisaidieni napata Msongo

    Mimi tatizo langu kubwa ambalo linaloninyima raha ni kuwa korodani zangu naona si kubwa kiasi kile ambacho ngependa ziwe. Napenda kawe kafurushi flani hivi hata nikiwa sina nguo zinaning'inia (pumbuh mzigo) napenda sana. Hizi nlizo nazo of course demu wengine husema wanazipenda nikiwa nyuma yao...
  18. JamiiForums Tanzania Tv ya hisense inch 32 imevunjika kioo msaada wakuu

    Wakuu nimevunja baahati mbaya tiv yangu naomba msaada nakoweza pata kioo na bei yake plse niko Arusha
  19. R

    JamiiForums Tanzania Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  20. JamiiForums Tanzania Zimamoto Msaada

    Nimepangiwa interview ya Zimamoto Temeke, hivi wapo sehemu gani hawa jamaa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…