msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtaala mpya Kwa level ya Advance

    Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025. Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha wakuu
  2. JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu chanjo ya manjano(yellow fever )

    Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano. Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo nasikia tetesi kwamba ninatakiwa kukaa siku kumi baada ya chanjo ndio nisafiri jee inawezekana kuondoka...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na kisheria

    Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho. Walidanganywa wakaripot vituo vya kazi kisha kupewa hela kidogo tu kama kiasi cha tsh 250,000 kwa maelezo...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa kurejesha rangi kwe simu ZTE 75 blade

    Ilitokea tu ikawa na rangi hii sasa sijui paliguswa wapi. Msaada jinsi ya kurejesha iwe na rangi halisi badala ya hii ya black and white kama zamani
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada please kama kuna Dawa nisaidieni napata Msongo

    Mimi tatizo langu kubwa ambalo linaloninyima raha ni kuwa korodani zangu naona si kubwa kiasi kile ambacho ngependa ziwe. Napenda kawe kafurushi flani hivi hata nikiwa sina nguo zinaning'inia (pumbuh mzigo) napenda sana. Hizi nlizo nazo of course demu wengine husema wanazipenda nikiwa nyuma yao...
  8. JamiiForums Tanzania Tv ya hisense inch 32 imevunjika kioo msaada wakuu

    Wakuu nimevunja baahati mbaya tiv yangu naomba msaada nakoweza pata kioo na bei yake plse niko Arusha
  9. R

    JamiiForums Tanzania Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  10. JamiiForums Tanzania Zimamoto Msaada

    Nimepangiwa interview ya Zimamoto Temeke, hivi wapo sehemu gani hawa jamaa?
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye hili

    Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh. Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa Vitabu vya cryptocurrency.

    Habari wanajamvi, wakubwa shikamoni. Naomba msaada wa vitabu vya cryptocurrency.
  13. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

    Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha primary, o level au Advance

    Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
  15. JamiiForums Tanzania Msaada, Gharama za Ufundi, Chumba, Choo, Jiko na Sebule

    Za weekend wandugu? Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko. Sasa muongozo wenu naomba...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wapi kwa kupata cover bora za computer kwa DSM

    naomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .
  17. JamiiForums Tanzania MSAADA

    Naomba msaada wa mawasiliano kwa mwanafunzi anayesoma ST JOSEPH UNIVERSITY OF TANZANIA kwa kozi ya computer science, anicheki dm kuna kitu naomba anisaidie Natanguliza shukrani
  18. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhalini wapenzi wa soka na mpira kwa ujumla

    Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi. Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Msasda jinsi ya kuunganisha UPS na desktop

    Nina SMART UPS C (APC) Hii ni kama back up ya umeme kama unatumia umeme ukakata kama ukiconnect hii desktop haizimi ni mpya kabisa Tatizo sijajua kuiunganisha ili desktop ichukue moto. Mwenye uzoefu anipe madini wakuu
  20. JamiiForums Tanzania Ndoto ya usiku wa leo imenitisha, msaada kwa anayejua tafsiri au maana

    Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru. Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…