msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana, Lakini inaandika hivi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Martha Karua ni nani?

    Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya. Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya...
  3. JamiiForums Tanzania MOI yapokea msaada wa endoscope kutoka Cure International

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepokea msaada wa darubini ya kisasa 'endoscope' ya upasuaji wa ubongo na mgongo kutoka kwa Shirika la Kimataifa la Cure International Limited, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha huduma za afya katika taasisi hiyo. Akizungumza wakati wa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada biashara ya Mchele

    Msaada bei ya Mchele grade 1 mbeya unauzwaje
  5. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ndani ya Mwaka wazungu wakituacha waafrika tujiendeshe wenyewe bila msaada Wala madeni?

    Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote. Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO. Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
  6. JamiiForums Tanzania Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

    Wakuu heshima yenu. Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa. Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa "Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."...
  7. JamiiForums Tanzania PICHA: Wachina wakishangaa muwakilishi wa nchi yenye njaa akiwa mnene kuzidi wao watoa msaada

  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ukuta wa nyumba unapandisha unyevu kwenye nyumba nzima

    Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta. Mafundi pia hawakunishauri lolote juu ya hilo ila kwasasa vipindi vya mvua naona athari yake kwani...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa ukweni kwenye kikao Cha msiba (baada ya mazishi); naombeni msaada wa points wanaJF nisijeumbuka ukweni!!

    Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
  10. JamiiForums Tanzania CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenye mawasiliano ya mbunge wa uyui msaada tafadhali

    Am sorry kama kuna mtu anamawasiliano ya mbunge wa uyui naomba anitumie kwa namba hii 0614922509
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Sheria

    Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda. Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa...
  13. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mtandao naomba msaada hio clip

    Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya nidhamu ya mahakimu/Wenyeviti wa mabaraza ya ardhi ni ipi?

    kama Hakimu ananifanyia mambo ya kuninyima haki yangu naweza kumpeleka katika mamlaka gani kumshitaki (siyo mahakamani). Unaona kabisa kuwa huyu hakimu ana ubia na mshindani wangu . Mamlaka yake ya nidhani ni yapi?
  16. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kulipa witholding tax kwenye mfumo wa TRA taxpayer portal

    Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao hawa TRA kupata ufafanuzi ila mtumishi wao niliyemkuta anifahamishe namna ya kufanya haya malipo...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwa haraka wadau. Kama sijatumia KIPAPIRO kwa week je Gobole linaongezeka ukubwa?

    Nina week sijala Kipapiro je inaweza saidia kukuza gobole? Je nikikaa mwezi litakua zaidi? Au niendelee tu kuchakata vipapiro? Nimeuliza hivi kutokana na kuwa nimekuwa tight hii week nchi ya ugenini huku Morocco. Sijafanikiwa pata kipapiro. Naona kama gobole limeongezeka. Na sijacheza pool...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa internet Mbezi Stend

    Habari Wana JF, Kunajambo niliiona pale kituo kikuu Cha mabasi Cha magufuli mbezi kwanza nilikipenda kisha kikanishangaza ila kimenishawishi kukifanyia kazi. Kuna siku nilikuwa safarini kuelekea mkoani nikiwa na kisimu changu mwenyewe maisha yanaenda nilipofika Mbezi nilikuwa nimechelewa sana...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa kampuni ya kufanyia IPT Kwa Dar es salaam

    Wakuu salam. Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya mawasiliano ya kielectronic kama AIRPORT,VODA,TCRA nk anisaidie kupata nafasi ya kufanya mafunzo ya vitendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…