Wakuu Habarini,!
Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua,
Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second,
Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana,
Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama,
Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu...