msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 80% ya kipato nakifaidi mwenyewe, Msaada 20%

    Natafuta pesa kwa taabu Sana. Hivyo 80% lazima niifaidi binafsi. Mambo ya kusaidia sijui ndugu na marafiki mav ndo hiyo 20%
  2. JamiiForums Tanzania Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

    Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Chumba changu kaingia nyoka sijui ameingia saa ngapi msaada

    Ni 2 : 40Am nimemuona niliamka alikaa karibu na jiko Mimi muoga vibaya naombeni msaada nitumie njian gani kumtoa Alafu haonekani na nipo kitandani sijashuka nimeshusha na net kabisa Msaada je ningoje had Asubuh au nifanyaje humu ndani na ndani vitu vingi sijapanga vipo hovyo hovyo
  4. JamiiForums Tanzania Tanzu na Vipera: Elimu ya kipumbavu kabisa isiyo na msaada.

    Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au kukomaa hapa hapa. Miaka 4 ya O level, 2 ya Advance, 3 ya chuo kikuu ilikuwa ni UPUMBAVU.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

    Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi au msaada anisaidie

    Nishasolve
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING

    Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa anaefahamu issue kama hii anisaidie mawazoo...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Dem akijibu hivi, nitumie swaga gani hapa kumshawishi By the way hata mm ni mpigaji tu
  11. JamiiForums Tanzania Msaada waku

    Kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidatu cha tano tahasusi ya HGL Nimepewa orodha ya vitabu. Je vitabu gani yaniapasa kuvinunua kutoka katika orodha ambavyo atasoma navyo kidatu cha tano?
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye operation system ya kali linux au Linux ya kwenye PC

    Habarini wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka. Kama kuna anayejua sehemu salama ya...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada nokia c31

    wakuu nina hii simu Nokia c31 niliiweka bila kuitumia muda kidogo sasa nimesahau password naomba msaada wenu mwenye kufahamu njia ya kufanya,ahsante.
  14. JamiiForums Tanzania Wana JF kwa heshima kubwa naomba msaada wenu

    Nimeanzisha channel WhatsApp nataka kuandika habari za matukio ya kisiasa kijamii na kiuchumi na. Kuandika historia mbali mbali hasa wale wapenzi wa siasa so naombeni mnifollow mdogo wenu kunisapoti Asanteni...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

  16. A

    JamiiForums Tanzania Msaada, hofu imenitawala sana mpaka usingizi umekuwa wa tabu

    Habari zenu tafadhali husika na hiyo mada, hofu imenitawala sana kiasi ambacho hata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba kueleweshwa hili tatizo nafaa kwenda hospitali? NB: Nilimpoteza kaka yangu mwaka ulopita hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

    Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2 CHEMISTRY.... C BIOLOGY.....C GEOGRAPHY...D MATH.....F Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tuombe msaada kutoka wapi?

    Hapa tulipofikia wenyewe hatuwezi. Tuombe msaada wapi? 1. Bunge si letu 2. Mahakama si yetu 3. Serikali si yetu
  20. JamiiForums Tanzania Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…