Msaada, Mambo ya kuzingatia kwenye zoom meeting interview

Msaada, Mambo ya kuzingatia kwenye zoom meeting interview

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,201
Reaction score
6,490
Nimepata fursa ya kufanya interview kwenye kampuni ya utalii kutoka Egypt

Kupitia zoom meeting
Sasa jamaa wamenitumia email kuwa saa kumi na moja kamili niwe onair

Nizingatie mambo Gani?
Wakiniuliza experience mana KAZI ni mambo ya utalii wakati Mimi ni mtalaamu wa sayansi ya jamii...

Experience najibu vipi na mengine

So Naomba msaada
 
Back
Top Bottom