msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa case law please

    Tafadhali mwenye hukumu ya akina Mbowe et al iliyotolewa last month na Jaji Mgeta aniwekee hapa au inbox please and please. Nimeangalia TanzLII hakuna.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya Mitsubishi Fuso bus seat 45

    Wajameni najua hapa kuna watalamu wa kutosha.mitsubishi fuso bus seat 45 mpaka niimiliki bei gani?vipi uimara wake? Inaweza kwenda kwa miaka mingapi? Kwa safari za km 420 kwa siku.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu rangi nzuri ya picha kwenye hisense Tv vidaa

    Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza, Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55'' Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano Picture mode nichague ipi kati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Habari wana JF Mwanangu ni mdogo wa kiume ana umri wa miaka miwili na miezi mitatu. Lakin kila uume wake ukisimama analamika anesema anaumia na kuuvuta huku akitaka mama yake amkune. Nimempelela hospital akapewa dawa imekuwa kama kazidishwa sasa sijui tatizo ni nin. Msaada plz katika hili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada speed track of cases

    Hello learned lawyers, Naweza pata msaada wa historia ya speed track of cases in Tanzania na mfumo huu tuliuadopt kutoka nchi gani?
  7. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Gari inatikisika mtikisiko mkubwa mbele ya bonnet

    Gari linatikisika kitu kizito mbele ya bonnet linapokuwa linatembea kwa spidi ya kuanzia km 80 kwa saa, na likiwa kwenye gia namba tano (gari ni manual). Mwenye kujua hili ni tatizo gani atakuwa wa msaada sana. Fundi wa gari amejaribu kubadilisha bush za mbele lakin bado lipo, fundi yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba sample ya consultancy proposal

    Habari ndugu zangu! Kuna sehemu nafukuzia mchongo ni international NGO agency ya UN....ila nimepata changamoto kidogo maana nimeambiwa hawapokei application letters maana ni position ya consultancy. Mimi sina uzoefu na kuomba consultancy hivyo basi nahitaji mwenye sample ya proposal ya kuombea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa au namna ya kutibu ulimi mzito na vyakula vya kumpa mtu aliyeungua kinywa

    Habari members. Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi wake umekua mzito. Je, kuna tunaweza kumsaidiaje ili ulimi wake urudi katika hali ya kawaida...
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

    Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu. Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote. Nikaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ndugu na jamaa zake, nikaanza kuweka...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kung'oa mzungu, naomba msaada kwa hapa Dar wazungu wanashinda mitaa ipi?

    Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu. Natanguliza shukrani
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mbowe aliyeko Mahabusu leo hii, anapigania Katiba ambayo kesho inaweza kuja kuwa msaada kwa wajukuu au vitukuu wako

    Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA). Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, nina shahada ya Human Resource

    😂😂
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Fundi wa kupaua nyumba Arusha Mjini

    Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800. Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake. Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70. Wa pili amesema mbao...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua gharama za maisha mkoa wa Mtwara

    Wakuu salam.. Niende moja kwa moja kwenye mada nimepangwa field kituo cha TMA(mamlaka ya hali ya hewa) Mtwara. Naomba msaada kwa mtu aliepo huku anipe maelezo ya vitu kama malazi, ili nijue najipanga vipi. Mfano bei ya vyumba karibu na eneo hilo, bei ya chakula etc. Natanguliza shukrani .
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla? Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi? Kwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

    .
  18. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Tiba la tatizo la low sperm count

    Habari wana Jf. Mimi n Mwanaume mwenye miaka 30, Nipo kwenye ndoa takriban 4yrs. Ndan ya hyo miaka sijabahitika kupata mtoto, nikahamasika kwenda hospital kupata vipimo na mke wngu ndipo ika gunduliko mm ndio mwenye shida nikiwa na tatizo la low sperm count. Kwa takriban 2yrs nahangaika na hili...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

    Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani. Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada application kudownlod movie kwenye iphone

    Mimi sio mzoefu kwenye simu za iphone naitaji download movie msaada wa aplication nzuri au website
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…