McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,347
- 1,626
Naomba kujua aina za sub meter na bei zake.
Nilimuuliza jamaa mmoja hivi, akadai kuna submeter aina moja tu inayohesabu tu na haina button
Ktk kugoogle naambiwa zipo za button
Je, hizo za button zinapatikana, na wapi naweza kupata? Na bei yake ikoje?