msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa Usafiri wa Kutoka Dar kwenda Dodoma

    Habarini wapendwa poleni na majum. nimekwama gharama za usafiri kutoka Dar kwenda Dodoma naombeni msaada. Mimi ni operator wa heavy machine. Dodoma kuna ujenzi wa barabara ya njia nne ambapo test ilikuwa ni leo na kesho pia. OMBI LANGU KAMA KUNA MWENYE USAFIRI UNAO WEZA KUFIKA DODOMA NAOMBA...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Wakuu habari za muda huu? Miezi kama 6 iliyopita, nilinunua benz kwa mtu. Gari ni Mercedes E280. Nilikagua chassis number vizuri na kujiridhisha umiliki wake. Nimekaa nayo vizuri bila tatizo. Siku chache zilizopita nikashauriwa niibadilishe umiliki. Katika kuiangalia vizuri kadi ya gari...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wenu waharaka wakuu hawa aliexpress siwaelewi kabisa, sijui ndo napigwa hivo.

    Iko hivi wadau niliweka oda alie wiki ilopita ni oda ya simu ya simu toka kwa seller MI POCO, akaship mzigo kesho yake ila cha ajabu jana tar 11 na angalia nakuta mzigo umearrive destination country country , nkajiuliza mbona fasta hivo, nkaingia parcelapp tracking nkakuta mzigo umeika origin...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anawashwa kila tukitumia Condom

    Mke wngu amawashwa sana kila nikitumia kondom kushiriki tendo, Nikienda kavu anakua sawa But nikitumia tu komdom baada ya kumaliza tendo anawashwa sana sehem za uke mpk kujikuna sana hii inaweza kua tatizo nn wapendwa? Maana kufanya bila kondom inaweza kupelekea kupata mimba za kukalibiana...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada; Kurudisha Whatsapp image

    Msaada namna naweza rudisha image nilotumiwa na mtu bahat mbaya kwake kafuta. Nikijaribu kuidownload inakataa na kusema hivyo kwenye screenshot
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Tyre cover la Gari aina ya RAV 4 kill time

    Wanabodi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Natafuta tyre cover ya gari aina ya RAV 4 kill time, milango 5. kwa yeyote anaye uza au kujua zinapo patikana naomba anifahamishe! Asante.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Miwani ya Kuogelea Wandugu

    Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
  9. JamiiForums Tanzania Papa Francis aliwahi kukataa msaada wa fedha wenye tarakimu 666

    Jaribio la Rais wa Argentina Mauricio Macri kutoa zaidi ya dola milioni moja kwa hisani/msaada iliyoungwa mkono na mmoja wa watu wake maarufu nchini Papa Francis alirudishwa nyuma mapema wiki hii, wakati kiongozi wa Katoliki alipokataa zawadi hiyo inaonekana kwa sababu kiasi kilikuwa na nambari...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuweka dark mode kwenye Samsung J7

    Ni Samsung Android version 6.0.1
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kudecypt Aeur file

    Don't worry, you can return all your files! All your files like pictures, databases, documents and other important are encrypted with strongest encryption and unique key. The only method of recovering files is to purchase decrypt tool and unique key for you. This software will decrypt all your...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumsikiliza English native speaker wa kizungu

    Wadau wa lugha, Na Mimi bwana nimebahatika kupata kashahada fulani kutoka moja ya vyuo vyetu vikongwe. kwahiyo ka-english ka hapa na pale kakuombea maji huwa ninako. Masomo ya english secondary nilipa daraja B. Tatizo kuu langu ni moja; Ukiongea wewe kiingereza (mswahili mwenzangu) huniteti...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

    Historia yangu kwa ufupi Mimi ni mzaliwa wa pili tena ni mzaliwa wa Kwanza. Mama yangu ana watoto watatu na Mimi ndiye mzaliwa wake wa pili kati ya watoto watatu. Kwa baba tuko wanaume wanne na wa kike wawili ila Mimi ndiye mkubwa kabisa. Baba yetu alishatangulia mbele za haki miaka ya...
  14. JamiiForums Tanzania Stake ya nyama 1kg inatoa mishikaki mingapi?

    Jamani kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa na hili.
  15. JamiiForums Tanzania Ajira ya Muda

    Habari Wakubwa! Mimi ni kijana wa miaka 27, ninasoma UTABIBU nipo MWAKA wa pili sasa. NINAOMBA KUPEWA AJIRA/KIBARUA CHA MUDA ILI NIPATE ADA YA KUJISOMESHA MWAKA WA MWISHO. Hivi sasa tuko kwenye maandalizi ya MTIHANI wa MWISHO wa MWAKA wa pili, (Tabibu Msaidizi), mitihani hii itaisha mwezi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya hali hii

    Kuna hali hua inanitokea mara moja moja ninapokua nashuka kwenye gari nikishika mlango nakua nahis kama nimepigwa short hivi,s0me times hata nikishika kitu chenye asili ya bati. Je, hii inaweza kua tatizo gan? NB gari haina short yoyote hilo nina uhakika. Pia situmii gar moja kila gar...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

    Members naombeni mawazo hapo gari gani nzuri kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida anayetaka kumiliki gari ya juu
  18. JamiiForums Tanzania Nina mikanda ya kizamani, nataka kuihamisha kwenye CD au Flash

    Nina Mkanda wa video ile mikubwa ya kizaman VHD kama sijakosea sasa nataka kuhamisha kilichomo ktk Cd au FLASH...Wapi wana utaalam huo?
  19. JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa case law please

    Tafadhali mwenye hukumu ya akina Mbowe et al iliyotolewa last month na Jaji Mgeta aniwekee hapa au inbox please and please. Nimeangalia TanzLII hakuna.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…