Msaada: Hospitali zinazotoa Chanjo ya Pfizer au Mordena

Msaada: Hospitali zinazotoa Chanjo ya Pfizer au Mordena

Humble be

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
3,587
Reaction score
6,416
Habari ya majukumu wapendwa.

Ninaomba kujua kama kuna hospital inayotoa chanjo ya Pfizer au Mordena kwa Tanzania hapa.
 
Habari ya majukumu wapendwa.

Ninaomba kujua kama kuna hospital inayotoa chanjo ya pfizer au mordena kwa tanzania hapa.
 
Hizi mpaka uvuke maji uende zanzibar ndipo walipewa hizo chanjo na kwa wakati huu mpaka kwenye baadhi ya hotel kuna point wanatoa chanjo, au unafanya appointment wanakuja home.
Ahsante sana
 
Kwanini wahusika hawaweki orodha ya majina ya vituo vya chanjo ya covid 19 nchi nzima. Wizara ya afya tafadhali sana. Wengine tumepoteza ndugu kwa ugonjwa huu
 
Kwanini wahusika hawaweki orodha ya majina ya vituo vya chanjo ya covid 19 nchi nzima. Wizara ya afya tafadhali sana. Wengine tumepoteza ndugu kwa ugonjwa huu
Mbona vituo vya chanjo viliwekwa kitambo mkuu
 
ukifaulu na mm nahitaji sana naomba tujulishane

The country aims to vaccinate 35 million people, to achieve herd immunity. In another shift, Health Minister Dorothy Gwajima— who once recommended home remedies — said the country was looking at acquiring several vaccines, including Sinopharm, Pfizer-BioNTech and Moderna.

Kwenye UZINDUZI
 
Kwanini wahusika hawaweki orodha ya majina ya vituo vya chanjo ya covid 19 nchi nzima. Wizara ya afya tafadhali sana. Wengine tumepoteza ndugu kwa ugonjwa huu
Kwa JJ vaccine vituo vipo vingi tu
 
Back
Top Bottom