Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

Jun 7, 2020
40
10
Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
IMG_20220410_215450_3.jpg
 
wewe ndie mwenye pesa ya mtaji, wasije kukutajia aina ya biashara kuzidi pesa tako.
 
oh ni kweli,nina mtaji wa wastani tuu,ni vizuri wakanitajia biashara ya mtaji wa kawaida tuu
sasa huo uwastani ni upi mkuu

aje akoment hapa bakhresa akwambie wastani ni mil 25

na aje pierre akwambie wastan ni laki 7

kule kwa mpalange akwambie wastan elfu 80

sasa apo utazungumzia wastani upi be specific dude
 
Back
Top Bottom