msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

    Habar wa wakuu, heri ya mei mosi. Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake Ni...
  2. L

    Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
  3. Msaada: Mwenye Filamu ya Zawadi Iliyochezwa na TASUBA Tafadhali Naomba Kiunganishi

    Wandugu wapendwa; Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba...
  4. Msaada nataka kufungua day care je nianzie wapi?

    Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
  5. Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    HABARI WANA JF, Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇 1.Nini Chanzo. 2.Madhara 3.Matibabu.🙏🙏🙏
  6. B

    Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  7. Msaada wa final year project title kwa bachelor degrees

    Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science.... Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title nyingi Sana na baadae moja ikapita, Title ilikuwa chronic desease management information systems...
  8. Msaada wa QuickBooks

    Wakuu habari zenu, naomba mwenye licence key, product nunber na validation number kwa ajili ya QuickBook Premier 2018, au sehemu yoyote ambayo naweza kupata software yake. natanguliza shukrana
  9. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  10. Nahitaji msaada wa transporter wa kunisafirishia mzigo wangu kwenda Nakonde

    Habari wadau! Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde? Msaada jamani
  11. Msaada kuhusu simu

    Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  12. Urusi yapokea msaada wa silaha kutoka kwa waasi wa Iraq, kwa kupitia Iran - hali mbaya

    Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi.... Iranian networks have been working to smuggle weapons from Iraq to Russia as Moscow’s plans to quickly invade Ukraine’s capital and...
  13. J

    Msaada wa kumwombea ajira mwalimu wa certificate ku-add taarifa za chuo

    Nisaidie
  14. Wewe umetoa msaada gani?

    Salamu kwako. "wema hauozi" na kizuri kinajiuza ila kibaya kinaendelea kujitembeza ni takribani miaka 16 kuna faida nyingi na hasara chache zilizopatikana kwenye tovuti yetu pendwa ya jamiiforums kwa makusudio ya uzi nitaorodhesha faida kadhaa nilizopata kwenye blogu hii na jambo gani...
  15. I

    Msaada wa haraka: Nasumbuliwa na goti

    Wakuu salaam, Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu. Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea kidogo na kukaza Tena. Ni tatzo limekua likintokea Mara kadhaa huko nyuma pia Sijaumia Wala kuanguka...
  16. T

    Msaada maombi ya ualimu 2022

    Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
  17. T

    Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  18. M

    Msaada wa vifaranga vya Sasso au Kuroiler

    Habari za muda? Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau kunijulisha na Bei. Karibuni!
  19. Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

    Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
  20. Msaada Tunatumia nini baada ya Kickass kufungiwa?

    Kwa wale ambao tulikuwa tunapakua software mbalimbali tulikuwa tunatumia sana hii kitu nakumbuka muda fulani ilifungiwa, naomba msaada wenu wakuu baada ya kufungiwa tunatumia nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…