msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Naomba kujua Soko la dhahabu na Rubby Dar es Salaam

    Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
  2. Umoja wa Ulaya waipa Ukraine msaada wa kijeshi wa Dola Milioni 508

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17). Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
  3. M

    Msaada kwenye hili tatizo la Hotspot

    Wandugu nilikuwa natumia Samsung yangu kama hotspot bila shida. Tatizo lilitokea baada ya ku update software ya Samsung. Sasa kila nikijaribu kufanya connection, napata error kwenye laptop kuwa "Limited access " . Namejaribu ku Google kupata ufumbuzi nimeshindwa. Naomba msaada toka kwa...
  4. Msaada miche ya mti wa Mahogany au Mkangazi

    Habari wana jukwaaa hili. Ninaomba yeyote anayefahamu ninapoweza kupata miche ya Mahogany au Mkangazi. Natanguliza shukrani.
  5. Msaada, narudishaje magrupu ya whatsap?

    Nimebadili simu,ila magrup yote ya whatsap hayapo.Kwa anayejua,naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
  6. Narudishaje magroup ya WhatsApp baada ya kubadili simu?

    Nimebadili simu, Ila magrup yote ya whatsap hayapo. Kwa anayejua, naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
  7. Msaada: Wapi naweza kupata mbegu za Safflower au Katamu?

    Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
  8. F

    Msaada: Naweza kufanya mtihani kama mtahiniwa binafsi kwa ufaulu huu?

    NIKIWA NA BCD KWENYE COMBINATION NAWEZA FANYA MTIHANI KAMA PC KIDATO CHA SITA
  9. Msaada: Anataka kununua eneo aanze kuchimba Dhahabu

    Habari za muda huu wadau wa JF? Naomba msaada hapa. Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu. Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla) Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
  10. S

    MSAADA: Naomba msaada wa jinsi ya kupata social security number

    Nimejiajiri, nataka kupata social security number, msaada tafadhali
  11. TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m

    Habari zenu. Naombeni msaada wa kuchagua TV Bora (mind Sina uzoefu na TV so nahitaji na uelewa pia) budget ni 1.5mil isizidi hapo. Asanteni.
  12. Msaada: Kozi ya ‘Biotechnology and Bioinformatics’ inahusiana na nini?

    Habari za muda huu tena wakuu. Naomba msaada na ufafanuzi juu ya Kozi hii inahusika na mambo Gani? BACHELOR OF SCIENCE IN BIOTECHNOLOGY AND BIOINFORMATICS Natanguliza Shukrani
  13. Msaada au maoni yako ni muhimu hapa.

    Natumaini sote ni wazima wa afya. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kupata kazi iwe ya kujitolea(volunteer) au kuajiriwa katika mashirika ya kimataifa ( UN, UNHCR, UNDP,FAO,USAID,UKAID nk.). Iwe ni skilled work au unskilled work, yoyote tu. Mimi ni university graduate wa 2021. Asante.
  14. Msaada kuhusu Voda Bima

    Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/=...
  15. Msaada: Vits new model kukosa nguvu

    Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:- 👉 Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima 👉 ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka...
  16. Plot4Sale Shamba zaidi ya hekta 3 linauzwa

    Nawasalimia wanajamvi. Pole na majukumu naomba nijielekeze kwenye mada mzee mmoja tunaefahamiana akanifuata kunitaarifu kuwa anauza shamba lake na ametafuta wanunuzi kwa mwaka sasa hafanikiwi tatizo watoto wake wanamzunguka kwa wanunuzi kwa kuwatishia kuwa baada ya kifo cha mzee wataleta...
  17. CBG kapata D tatu, asome kozi Gani?

    Wakuu habari za wakati huu. Nina mdogo wangu amesoma mchepuo wa CBG na amepata D tatu. Naomba msaada ni Kozi Gani nzuri anaweza akasomea?
  18. Nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and development

    Habari! Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data science. Wazo langu nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and...
  19. Hii sarafu ya mjerumani ina thamani gani?

    Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?
  20. Msaada kwa watoto wanaokula magodoro

    Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,” Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…