msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: PC system inakula sana data

    Beijing! Bonjour wakuu, PC yangu inakula sana data kwa vitu visivyoeleweka. Nimeweka connection kuwa metered Nimestop background applications Nimestop google updates (ilikuwa ishakula mb95) Nimeweka data limit Nimezuia system updates mpaka January huko Lakini bado kila mkitumia nakuta Mb kibao...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kile kikalamu cha simu hakifanyi kazi tatizo ni nini?

    Samsung galaxy Note 20
  3. JamiiForums Tanzania Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

    Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa. Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matibabu ya ugonjwa wa kutoka malengelenge kwenye ngozi

    Pemphigus Vulgaris Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo. Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani? Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB"...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada mafundi Tv hisense

    Naomba msaada ....Tv yangu Hisense 32" imeleta shida kwenye mkanda unaounganisha motherboard (engine) na screen hiv kuna uwezekano wa kupatikana?
  6. JamiiForums Tanzania Hii ni kawaida kwa RAV 4 old cc 1990 kula mafuta? Naomba msaada wenu

    Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu. Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa cheki namba wala huduma za lawson. Nina miezi minne kazini! Kabla sijasaini offer nilikuwa na pending...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata Generator Kwa Bajeti ya 200k

    Habari za Leo Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k kwa ajili ya barber shop nipo DSM Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

    Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu). Hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kukabiliana na ugumu wa maisha.

    Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu... Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie.. Biashara ndogo ninayofanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. Kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa.. Naona Msongo wa Mawazo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta ajira ndugu zangu

    Umri: 38 years Elimu: Kidato cha sita na computer course. Uzoefu: Ualimu wa computer na kazi ya Patron shule ya sekondari. Uwezo: kufundisha computer, kiingereza na kazi za malezi kwa vijana na wanafunzi. Makazi: Dar es Salaam OMBI: NATAFUTA KAZI YOYOTE HALALI, MASHULENI NA MAOFISINI PIA...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

    Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
  13. JamiiForums Tanzania Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

    Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine. Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike. Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu biashara ya kuuza mpunga kutoka Morogoro

    Habari zenu wapendwa ,, Naomba msaada wenu kwa walioko kilombero morogoro kuhusu biashara ya kununua mpunga na kukoboa Kisha kuuza na sio kuweka stock. Ni mtaji Gani unafaa kuanzia ili kupata mzunguko mzuri kidogo. Changamoto na ushindani pia ukoje kwenye biashara hii. Pia ningependa kujua...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa udhamnini ,expecial anaefanya serikalini

    Wakuu, Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
  16. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

    Morning Tumeanza mahusiano hii week sasa lakini kashaomba hela mara tatu then leo ananiambia hvi, nimekosa cha kumjibu kabisa Ungekuwa wewe ungemjibuje.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Visa ya Cyprus, Turkey au Holland

    Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland. Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania? Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa Usafiri Kahama kwenda Mbeya

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Kahama kwenda Mbeya na gharama zake Ahsante
  19. JamiiForums Tanzania Msaada accout yangu ya facebook imefungiwa

    Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inabadilisha SMS kuwa MMS

    Habari zenu wana jamii Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala Natumia Samsung A02
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…