msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Solve on paper, take a picture then coment

  2. Msaada wa kisheria kuhusiana na hili

    Kisheria hii imekaaje. Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili. Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo mtuhumiwa akawa huyo mtu wa pili ambaye hana mkataba na mmiliki. Sasa je ni vip huyu mmiliki anaweza pata...
  3. Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

  4. Tanzania yaomba msaada wa kifedha kurejesha wakimbizi makwao

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka. Akiwasilisha ripoti kuhusu hali ya wakimbizi mbele ya Kamishna Mkuu wa UNHCR Filipo Grandi, Masauni...
  5. Msaada wa malazi Moshi

    Mimi ni mwanafunzi ambaye Nimechaguliwa chuo cha Mwenge Catholic university. Hata hivyo Mimi ni mgeni sina ndugu Hivyo kwa mwenyeji wa moshi ninaomba msaada WA ghetto au chumba Pia nahitaji kuijua gharama zake
  6. Mtaalamu wa mchezo wa bao msaada

    Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda? Mi si mchezaji wa bao lakini kuna...
  7. Kialama hiki kina maana gani?

    Wakuu, naomba mnisaidie kwa wenye ujuzi na hizi simu .. Hicho kialama hapo juu pembeni ya kialama cha alarm kina maanisha nini?
  8. Msaada wa haraka unahitajika ili ndugu yangu apate haki yake

    Habari zenu? Kuna ndugu yangu alikuwa analinda shamba la mtu kwa muda wa zaidi ya miaka 10(bila malipo) mwenye samba ameshafariki. Watoto wa mwenye shamba wanataka kumtoa kwa nguvu huyo ndugu yangu ambaye alikuwa anaishi hapo kwa miaka yote huku akiwa na familia yake hali kadhalika alipanda...
  9. Course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini?

    Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana? Na ajira zake zikoje upatikanaji wake. Au kwa upande kujiajiri
  10. Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima. Msaada tafadhali. Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana. Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
  11. Nimeshindwa kuvumilia, naomba msaada wenu jinsi ya kuachana na mzazi mwenzangu

    Habarini za asubuhi waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa. Turudi kwenye mada, Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili, lakini vitimbi ninavyokutana navyo kwakweli nimeshindwa kuvumilia. Ombi langu kwenu ni hili, nahitaji...
  12. D

    Msaada wenu jamani

    Mimi ni kijana wa miaka 21 nipo Mkoani Mara, nimemaliza form four(4) mwaka 2018 na kufaulu Ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto ya ada nikawa nafanya tu vibarua ndogondogo hapa mtaani Ila kwa sasa kidogo nina kianzio cha kwenda kuanzia masomo, course ni DIPLOMA IN PHARMACY...
  13. A

    Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Habari wakuu, Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist). Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
  14. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi...
  15. Wadau, msaada haraka hali hii inatesa sana muda huu

    Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni, hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu. Nimekula nyama choma, mishkaki, sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa...
  16. Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

    Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi. Itakua vyema sana kama Ushauri...
  17. Haiti: Serikali yaomba msaada wa kijeshi kukabili maandamano ya kupinga utawala

    Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha. Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
  18. S

    Nakiona kifo changu! Msaada wenu unahitajika

    Wakuu habarini! Nimeshare shaver jana na mgongwa wa UKIMWI bila kujua bahati mbaya wakati natumia nilijikata. Leo ameenda kuoga na yeye akatumia hiyo shaver kumuuliza akasema hiyo niyake na huwa anatumia yeye ikabidi niangalie kwa makini nikagundua nikweli mimi ndio nilikosea nikatumia yake...
  19. Picha: Raia wa kigeni azunguka na watoto Kariakoo kuomba msaada

    Kwa kweli leo imenishinda nilishazoea kusikia mchina anauza madafu sijui karanga mitaan inakuw tunawahis hawa labda ma spy. Ila leo huyu jamaa anazunguka Kariakoo miskitin anaomba.hiv kwanin anatesa hawa watoto, kwanin asirud ubalozin akaomba msaada labda alipata na majanga yakasabisha ashindwe...
  20. Msaada: Kupata hati miliki ya wazo

    Wakuu habari za mda huu. samahani sana naomba kuulizia hivi nitaweza kupata wapi sehemu ya kusajili wazo langu yani idea yangu ya ubunifu. nataka nisajili idea ( Hati mmiliki ya wazo). Nina kifaa cha umeme ambacho nimekitengeneza mimi mwenyewe. ila na hofia naweza nikakipost au kukipeleka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…