Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

Adjuss

Member
Mar 22, 2014
49
15
Habari wakuu,

Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist).

Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana.

Natanguliza shukrani.
 
Habari wakuu. Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist) naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom