msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

    Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu? Naomba mnisaidie haya maswali ya: 1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the...
  2. Msaada, kisheria hapa nichukue hatua gani?

    Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023. Direct kwenye point Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2. Baada ya malipo ya awali, ambayo yalikuwa ni kama 2/3 ya malipo yote, tulimuomba mzee aliyetuuzia copy ya hati ya...
  3. MSAADA: Ufafanuzi wa majibu ya ultrasound

    naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound. SASISHA (updates):- Namshukuru ALLAH leo tarehe 02 januari 2023 mimi pamoja na familia yangu tumebarikiwa watoto wawili wote wa KIKE. njia iliyotumika kujifungua ni njia ya kawaida. Nawashukuruni nyote. MBARIKIWE.
  4. E

    Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Wakuu kama title inavyosema, nahitaji kusafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama karibu na chuo cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, kwa anayefahamu bus ninalotakiwa kupanda, pamoja na routes za kupitia kufika hapo naomba anisaidie please🙏.
  5. L

    Msaada wa dawa ya kuuwa/Kuzui wadudu wanaokula mahindi shambani

    Wakuu kama kichwa cha habari. Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za kutibu zisizo na athali za mazingira nitafurahi sana pia).pia namna ya kizuia hawa wadudu.yaani...
  6. Msaada kuhusu kwenda Nairobi

    Hamjambo wakuu? Nataka kuenda Nairobi Kwa siku mbili, nahitaji kujua usafiri mzuri kutoka Dar, nauli na pale mpakani kinahitajika kitu Gani? Passport ninayo je, kuna kingine kinahitajika ili kuingia Kenya? Je, maeneo Gani mazuri Nairobi ya kukaa Kwa budget ndogo, msaada?
  7. M

    MSAADA: Kisimbuzi cha Azam hakiwaki

    Habari wana jamiiforums naomba msaada wenu kuhusu Decoder ya Azam TV kila nikiiwasha haiwaki hadi mwisho na badala yake inaamdika neno Boot na kuishia hapo! Tatizo hili linasababishwa na nini? Msaada wenu tafadhali, nimejaribu kutumia remote nione kama naweza kufika kwenye menu yoyote lakini...
  8. Mahindi ya Msaada Bomu lingine kwa BASHE

    ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na kukutana na urasimu mkubwa. Miongoni mwa mambo ya ajabu yanayonekana Bei ya mahindi ni Sh 800 kwa...
  9. Anayejua base speaker nzuri asisaidie

    Habar za humu watu wa Mungu. Aulizae hapotei! Nahitaji taarifa za kiteknolojia kuhusu speaker kubwa ya bass kuunga nguvu na vifaa vingine nikivyonavyo kwa mziki wa ukumbi. Mziki mkubwa. Nimeshauriwa fed ex bila maelezo ya kiulinganifu. Nitashukuru kwa wataalam na wajuvi wa hili kama ambavyo...
  10. Msaada jinsi ya kutumia Mtandao wa Twitter

    Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
  11. Ushauri na msaada

    Umuofia kwenu, Nina kakibanda kangu huko mjini Kerege sasa wakati napiga gharama mbali mbali nikajikuta mambo yamekua mengi na mzigo (pesa inakata) na wakati huo nilikua tayari nishalipia pesa za bati kiwandani, ila gharama za mbao zikazidi. Baada ya kushauriana na fundi na kumueleza hali...
  12. Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  13. Naomba msaada kufungua line ya Vodacom upande wa calls na sms

    Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
  14. Msaada, mwenye levelling staff

    Naomba msaada kama kuna mtu ana levelling staff au anajua mahali naweza kupata, iwe used au mpya ila kwa bei chee (bei ya kirafiki). Nina shida nayo very soon. Asanteni.
  15. Threads zinazosimulia matukio ya kijasusi zinapatikana wapi?

    Hope wote mmeamka salama.Kwa wale wenye changamoto poleni.Mungu awe faraja kwenu. Mimi ni mpenzi sana wa kusoma historia mbalimbali hasa hasa zinazoohusu OPERATIONS ZA KIJASUSI.Saivi nipo likizo kijijini muda mwingi nautumia kujisomea mambo hayo (nashinda ndani sitaki kuzurula).Nimejikuta...
  16. Msaada wa taratibu za jinsi ya kupata visa

    Habari za muda, naombeni maelekezo ya jinsi ya kuafutatilia na kupata Visa. -Je niwe na Documents zipi? -Naweza kupata kwa kupitia online? Link ni ipi? Au ni kwenda Ubalozini? -Niwe na kiasi gani ajili ya Visa (ya mwaka tu)? Binafsi nipo mkoani, so kiujumla ningependa kujuzwa taratibu na mambo...
  17. J

    Msaada wa nafasi ya kazi

    Habari wakuu Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana. Nina uzoefu katika kazi za IT, Sales and marketing,Project Management pia nipo tayari kujifunza na kufanya kazi yoyote ya...
  18. F

    Msaada jinsi ya kufanya flash disk formated fat32 ibebe vitu zaidi ya gb 32

    Wakuu habari zenu, Kama mjuavyo flash drive ya kwanzia gb 64 + 1 TB uki format kwa fat32 hua inapoteza uwezo wake wa kubeba vitu vingi na badala yake itahifadhi vitu mwisho gb 32 tu. Naomba msaada jinsi ya kuvunja hiyo limitation na kufanya ibebe vitu vingi zaidi ya gb 32 bila kubadilisha...
  19. Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
  20. Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…