Mrejesho: Mwanaume niliyelizwa na mapenzi

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
I'm very spiritual man.
Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa.

Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya kuishawishi nafsi ya dada huyo hata akiwa mbali, niliisemesha roho yake na kumwambia maneno mazuri na kujinadi kuwa ni mimi pekee nimpendae kwa dhati

Nguvu yangu ya kiroho kweli ilifanikiwa kumshawishi dada huyo na hadi kufanikiwa kulala nae.

Lakini naona anazidi kuwa mwiba kwangu kwa vitu vingi.

Yamenikuta aisee makubwa sana..

Mungu alitupa mamlaka ya ombeni chochote na mimi nilitumia mamlaka hiyo na sasa najuta.
Sasa nimejifunza vizuri Kisemo cha Biblia .. ...
"Ukililia Nyama, unapewa nyama kisha unakondeshwa Roho"

Hayo ndio yamenikuta wapendwa.

Sasa nimeamua kubadili maombi yangu na hakika imenisaidia sana.
Sasa naomba binti huyu atoke kabisa kwenye maisha Yangu, sitaki tena upenzi nae.
Leo usiku nitamalizia maombi yangu na kuwa Free kabisa.

Ni hayo tu wakuu.

By mr. Ip_kiss Surya

Pia soma: Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi
 
Ulipodondokea pua ni hapo tu ulipozidiwa na kichwa cha chini na kuzini na huyo Ke.

Kumbuka Biblia inakuonya kuwa "Aziniye na Ke hana akili"

Nguvu za kiroho huondoka kabisa na hata Wachungaji wengi mno wamepoteza hizo nguvu za Roho Mtakatifu kwa kuhusudu uzinzi.

Tubu dhambi na ujitakase haswa ili rehema zake Mungu zikushukie.
 
Wewe ni spiritual man na ukatumia nguvu zako za kiroho kumshawishi mtu mfanye uzinzi.
Kwa hiyo mwenzetu ukiwa na nye.ge unamuomba Mungu anakuletea demu unakula kisha unamshukuru au vipi? Hebu niintrodyuzi na mimi kwa huyo mungu wako
 
Uzinzi unaujua wewe?

Shida yako ujuaji mwingi kumbe hakuna unacho jua.
 
Wewe sio spiritual man. Spiritual man hatuamini katika true love kwani hakuna true love ndani ya ulimwenngu huu uliojaa wachawi. Wewe ni mtu wa blind faith unae amininkatika script ya bible. Meditation does not make you spiritual it make you empty soul. LOVE YOUR SELF AND YOU WILL ATTRACT PERFECT PERTANER AMBAYE ATA REASONATE NA YOUELR LOVE FREQUENXY.
 
Wewe ni spiritual man na ukatumia nguvu zako za kiroho kumshawishi mtu mfanye uzinzi.
Kwa hiyo mwenzetu ukiwa na nye.ge unamuomba Mungu anakuletea demu unakula kisha unamshukuru au vipi? Hebu niintrodyuzi na mimi kwa huyo mungu wako
 
Surya ugonjwa wako umekurudia tena
FB_IMG_16456395612575091.jpg
 
Back
Top Bottom