Mrejesho wa usahili wa TANROADS Songea kitengo cha mizani

Habari wakuu samahani nilikua nauliza kuna mtu yeyote aliyepigiwa simu baada kufanya oral interview ya tar 18/5 mwaka huu
kiushauri zaidi kwa izi taasisi zetu unatakiwa ukifanya usahili jitahidi sana kutembelea ofisini kwao kupata deatail zaidi tena inatakiwa ucheze na Hr muda wote.
 
Hwa jamaa inabidi wapigiwe kelele ili kazi zao zitangazwe Kule secretariat ya ajira
 
Hao jamaa huwa hawaeleweki kabisa,ukishapiga interview potezea fanya mambo yako mengine.
Miaka mitatu nyuma nilishawahi kuchoma nauli yangu kutoka Dar kwenda Songea kwenye interview hiyo hiyo ya Tanroad tukafanya interviews 2 written na oral tukamaliza.
Baada ya kumaliza wasahiliwa tukapeana namba za simu kisha tukaunda whatsapp group.
Cha ajabu watu wote tuliokuwa tunawasiliana hakuna hata mmoja aliyeipata hiyo kazi.
 
Walioitwa kwenye hiyo kazi walitangazwa au hawakutangazwa
 
Back
Top Bottom