Mliooana kupitia forum hii leteni mrejesho

Hamna hata response😃, anyway mi ngoja nikujibu nilipata mtu na tulielewana vyema tu shida ikaja kwenye dini. Alitaka nibadili dini nimfate yeye hapo nikamwambia tufanye ya serikalin akakataa akisema itampa shida maana haitambuliki ikabd tuishie pale, ila ni mwanaume bora sana
 
Hujampenda, yani nimuache mtu nnaempenda kabisa kisa dini?

Ntampenda yeye na hiyo dini yake.....
 
Back
Top Bottom