mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

    Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee. Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5. Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tumefanywa Misukule muda mrefu. Lema tukomboe

    Kaka Lema hii ngoma unayopiga imefika mpaka Ndani walipofugia misukule (wtz) endelea kuipiga hiyo ngoma kwa ustadi zaidi ili wafuga misukule (viongozi waovu) waamke na kutubu. Haiwezekani tufikirishwe vitu vidogo vidogo. Haiwezekani eti bodaboda ni ajira wakati hainihakikishii maisha marefu na...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

    Yaaani haya mambo yasikie tu kwa mwenzio aiseee sio poa yaani zamani nilikuwa nasikia mtu akijinyonga nilihisi huyo jamaa ni mbwa tu na mjinga sasa mimi sasa kiukweli mie nimekulia kwenye familia ya kishua yaani kishua haswa unajua wa kishua mimi ni wa kishua haswa yaani wakishua haswaa yaani ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kusema tu kuna watu waliiba pesa za plea bargaining na kuzificha China haitoshi. Serikali ina mkono mrefu. Iwakamate wahusika na kuzirejesha nchini

    Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia...
  5. mr_stev001

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya muda mrefu yanachochea mapenzi kuisha?

    Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?✍🏼✍🏼
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mapacha waliozaliwa kwa Ujauzito wa miezi 4 waweka Rekodi ya Guinness kwa kuishi muda mrefu

    Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani. Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

    Wakuu hili tatizo linatokana Na nini? Msaada please
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara nyuzi za tohara zinapobaki mwilini kwa muda mrefu? (Miaka 13)

    Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe. Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu? Au zinapobaki haziwezi leta...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwamba muda si mrefu anaingia choo cha kike

    Habari Wana Jf Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume wengi wanavipenda.Kutokana urafiki wa Karibu nilionao na yeye aliwahi kunitengenezea mazingira ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaongoza kwa Watu wake kuishi Umri Mrefu kwa Nchi za Afrika Mashariki

    Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu. Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti. Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
  12. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Ameniacha Na Kwenda Kwa Mwanaume Mwingine Baada Kuishi Naye Muda Mrefu. Nifanyaje?

    Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu. Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka. Akakuvumilia akiamini utabadilika lakini wapi. Sasa amekuacha unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla alianza...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Rafiki tuliyezoeana muda mrefu kapunguza mawasiliano na mimi, ni wiki mwezi tangu nifungue biashara karibu na ofisini kwake je, ndio chanzo?

    Alikuwa ni rafiki ambae ananichangamkia sana haipiti siku bila kunitumia meseji za salamu, alikuwa anapenda tuchat, kukumbushana visa vya shuleni, n.k. Kiukweli niwe muwazi kiuchumi tumepishana ila hatuchunguzani sana, tunajuana vichache yeye anajua tu kwamba mimi nina biashara kadhaa ambazo...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ni imani gani potofu uliiamini kwa muda mrefu halafu ukaja kujua si kweli?

    Dhana potofu ni imani zinazojengeka kwenye jamii ambazo si za kweli. Dhana hizi hurithishwa kwa vizazi na watoto hufahamishwa tangu wakiwa na umri mdogo. Mfano wa dhana potofu ni ugonjwa wa mabusha "Hydrocele" kusababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Je, imani ipi potofu unaijua kwenye jamii...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanandoa wanakaa na Hasira na Vinyongo muda mrefu hufariki mapema

    Utafiti wa zaidi ya miaka 17 wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani ulibaini kuwa Wenza wanaozungumza baada ya Kukwazana na Kupandishana Hasira, wanaishi muda mrefu zaidi. Pia, utafiti umebainisha kuwa Mtu mwenye Hasira muda mwingi huwa na huzuni ambayo inamuweka kwenye hatari ya kupata...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini inachukua muda mrefu kutoka oral hadi placement? Nadhani watu wapewe kwanza matokeo ya oral kwenye akaunti zao halafu wasubiri PDF

    Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni wizara gani ungependa mawaziri wake wasiwe wanakaa kwa muda mrefu kwenye hiyo wizara?

    Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana. Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama. Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

    Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno. Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee. Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
  19. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Starehe ya muda mchache, majuto ya muda mrefu

    Za nyieeeee.. Mapenzi, mapenzi, nakuita tena xxx. Ni starehe ya mda mfupi sana, ila majuto yake yanadumu milele. Ninapozungumzia majuto, nina maana hii. Kuna kipindi mtu unashikwa na ugwagwadu wa maana mpaka ukiona midoli unatamani kuichakachua, sasa hali inawapataga wanaume tena inawafanya...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wafanya aina ya mashambulizi ambayo hayajashuhudiwa kwa muda mrefu

    Donetsk kumewaka moto, Warusi wapoteana....viongozi wa Urusi wanasema hawajashuhudia aina hii ya mashambulizi kwa miaka mingi. MOSCOW, Dec 15 (Reuters) - Ukrainian forces shelled the Russian-controlled eastern Ukrainian city of Donetsk overnight in some of the biggest attacks for years...
Back
Top Bottom