mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania PSRS mbona wamekuwa wakichukua muda mrefu mchakato wa ajira?

    PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Diamond apokelewa Congo kwa shangwe

    Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu. Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta hatasahaulika kwa muda mrefu sana, ni kiongozi mstaarabu sana

    Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta. Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi. Yuko down to earth. Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi. Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha. Lakini...
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

    KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Athari kukaa muda mrefu kwenye kiti hii hapa

    Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu. Wameshauriwa kujenga tabia ya kusimama na kufanya mazoezi ya kunyoosha mwili ili kujiepusha kubana mishipa hiyo. Mtaalamu wa Udhibiti wa Magonjwa wa Wizara ya Afya, Dk...
  7. Head prefect

    JamiiForums Tanzania Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aliyenusurika kifo katika Klabu Afrika Kusini asema walikosa hewa kwa muda mrefu

    Binti mwenye umri wa miaka 17, mwanafunzi wa darasa la 12 katika shule ya Sekondari eneo hilo (jina limehifadhiwa) amesema kwamba walihudhuria sherehe katika klabu ya East London kwa sababu waliarifiwa kwamba iliandaliwa waigizaji mashuhuri Anasema kwamba watu walipozidi kuongezeka, baadhi ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu Tanzania na Watanzania tutavuna tulichopanda kwa kukumbatia Katiba iliyopitwa na wakati

    Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu itatupatia dikteta wetu. Katiba hii imempa rais madalaka makubwa mno , rais anauwezo hata wa kulivunja...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Harmonize kweli wewe ni kiboko ya WCB

    Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea. WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha. Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mbwa asili wa Tanzania hawaumwi kirahisi, rahisi kuwanunua na kuwahudumia, wanaishi muda mrefu. Tuache ushamba wa kupenda mbwa wa nchi za nje?

    Wana kinga asili nzuri dhidi ya magonjwa Ni nadra sana kukuta hawa mbwa wetu wamepelekwa hospitalini kutolewa minyoo (de -worming), hata wengi tunaowafuga hawajawahi kuchomwa sindano yoyote tangu wazaliwa lakini wanadunda. Kuwalisha kwa gharama nafuu Hata ukiwachanganya ugali na dagaa kwa...
  12. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

    Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urambo: Ajinyonga baada ya kuandamwa na sauti zilizomtaka ajiue kwa muda mrefu

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Emmanuel Kasapa (60) Mkazi wa Mtaa wa Legezamwendo, Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora amejiua kwa kujinyonga baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na sauti za watu zikimwamuru ajiue. Watoto wa marehemu wamesema baba yao amejaribu kujiua mara kadhaa...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa sisi ambao ni wafupi, futi 03 tunaweza pata Mwanamke mrefu akatuelewa?

    Wakuu Kuna Mwanangu wa Damu Yupo hapa Katika Dream city Dar salama Lakini Changamoto inayompa shida ni Mfupi ana Kama Futi 03. Huyu Jamaa watoto wazuri wa Daslama wamekuwa waki- Dump Sana so eti kisa Mfupi. Kuhusu hela anayo sema ndo hivyo mpaka wale mademu wetu wa Bei rahis wa sisi Graduate...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

    Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana. Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania TRA madhara yenu kwa biashara ya utalii yatachukuwa mda mrefu kurekebishwa na huenda yasirekebishike kabisa

    TRA Arusha mnakumbuka kesi hii Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

    Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani. Pia Lissu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
Back
Top Bottom