Kenya hii ni aibu, mnajengewa hadi vyoo na wazungu?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,832
18,827
Hii pengine inafanyika hata Tanzania sema sijswahi kuiona, nikiiona nitaisema

Hii ni aibu wakuu, hii sio miradi ya kufadhiliwa na wazungu, tutazidi kudharaulika

Mradi kama huu wananchi wanachangishwa tu fedha kidogo na unajengwa

Screenshot_20210619-100119.jpg
 
Watakuwa wamefadhiliwa mpaka na magazeti(toilet paper)ya kujifagilia,Mana si hawatumii maji hawa .mambo ya kidhungu
 
Hii pengine inafanyika hata Tanzania sema sijswahi kuiona, nikiiona nitaisema

Hii ni aibu wakuu, hii sio miradi ya kufadhiliwa na wazungu, tutazidi kudharaulika

Mradi kama huu wananchi wanachangishwa tu fedha kidogo na unajengwa

View attachment 1823382
The move is meant to curb open defecation, wakenya wengi sana hujisaidia vichakani kama bata vile, a reason cholera is killing hundreds of Kenyans,
Tazama hiyo video pia uone ishu ya vyoo ilivyo Tatizo kubwa kenya.
JamiiForums984711671.jpg
 
Toilets generate income for a community in Tanzania

Having toilets and water is a basic necessity in library/schools; however it is not available in many rural schools in Tanzania. Due to this, children are irregular to school and eventually drop out.


The Tanzania Integrated Water Sanitation and Hygiene Program (iWASH) was a USAID-supported initiative implemented by the Global Water for Sustainability (GLOWS)
The program is funded by several countries including Australia, Austria, Canada, Denmark, Finland, France, Ireland, Luxembourg, Netherlands, Norway, Sweden, Switzerland, United Kingdom, and United States, as well as by the Bill & Melinda Gates Foundation.

This project will provide sanitary toilet facilities for 600 students, improving their general health, as well as their school attendance.

Mara Paap..! Making Tanzanians excited about poo.

It is also estimated that about 5 million Tanzanians do not use a latrine at all, and practice open defecation.

Water Sanitation and Hygiene in Tanzania.
Water sanitation and hygiene in Tanzania (WASH) is an ongoing crisis for citizens of this diverse country. Eighty percent of rural Tanzanians rely on unimproved sanitation facilities, pit latrines without, water, platforms or slabs, or in the worst-case, open defecation.
IMG_20210619_162708.jpg

1024px-Where_the_bus_stops.jpg

Screenshot_20210619_151333.jpg
 
Back
Top Bottom