Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba!
WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio...
Ujenzi wa mtambo wa kisasa wa kuchakata majitaka katika eneo la Mitamba, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake huku lengo likiwa ni kuimarisha usafi wa mazingira kwa wananchi.
Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi (succession plan), hususan kwa wafanyakazi wa Kitanzania.
Kwa zaidi ya miaka minne, Watanzania wamefanya...
Anonymous
Thread
ajira
eacop
hata
hivyo
katika
mradi
mwaka
mwaka 2021
mwaka 2026
mwisho
watanzania
wito
Habari wakuu?
Nimejlitazama ile makala. Kinachoelezwa mule ni Uzushi na Upotoshaji Mkubwa ambao, ukiiutamza huoni Professionalism ya Journalism. Je, ule ni Mradi?
Cc: Pascal Mayalla
Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.
Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
Anonymous
Thread
gpe
kero
kujitolea
kupitia
mkataba
mpaka
mradi
msingi
nchi
nchi nzima
shule
shule ya msingi
walimu
walimu wa kujitolea
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo Mei 25, 2026, kimetoa mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa za msingi kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa SAFARI, unaotumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kuboresha huduma za ultrasound kwa akina mama wajawazito.
Mradi huo unatekelezwa na UDOM kwa kushirikiana na...
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange ameeleza kutoridhishwa na kasi ya mkandarasi anayetekeleza mradi wa maboresho ya Kituo cha Kufua Umeme cha Hale kutokana na kuchelewa kukamilika kwa Mradi huo ulioanza kutekelezwa tangu mwaka 2022.
Bw. Twange ameyasema hayo leo Mei 22, 2026 wakati...
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu, Dodoma, unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti 18, 2026.
Akizungumza Mei 20, 2026 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo katika mikoa ya...
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja inatekeleza mradi wa muda mfupi kuhudumia Kaya zipatazo 23 zinazokosa maji katika Vijiji vya Luhindo na...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi
◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40.
◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati.
◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Mradi wa SAFARI unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umefanya kikao chake cha kwanza cha Kamati ya Ushauri wa Kiufundi (TAC) iliyoundwa kuimarisha utekelezaji wa Mradi huo wenye lengo la kutumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kuboresha huduma za ultrasound kwa kina mama wajawazito...
Kuna tatizo kubwa la upungufu na ukosefu wa maji kwa vitongoji kadhaa kwenye vijiji hivi viwili ambapo baadhi ya wananchi wanapata maji kwa mgao na wengine hawapati kabisa.
Mamlaka ya maji (IRUWASA) haipokei wala kuunganisha maji kwa wateja wapya wa Kijiji cha Luhindo kwa maelezo ya upungufu wa...
Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
My Take
Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania.
Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto.
Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.
Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za...
Anonymous
Thread
kampuni
katika
malipo
mradi
msd
nssf
wafanyakazi
wake
Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion.
USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.