mradi

  1. I

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Lamu, Kenya: Sio refinery tu! Dangote asema mradi huo utazalisha hadi 1,000MW za umeme

    Mradi wa Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote katika kaunti ya Lamu unaonekana kuwa mkubwa zaidi ya refinery ya mafuta ambayo imekuwa ikizungumziwa kwa miezi kadhaa. Bilionea huyo amesema mradi huo pia utakuwa na mtambo wa kuzalisha hadi megawati 1,000 za umeme kutokana na petcoke(nyenzo...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Akwilapo apongeza utekelezaji wa mradi wa Kisangiro

    MWANGA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amekagua utekelezaji wa Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo lililokuwa Shamba Na. 2 Kisangiro, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, na kupongeza hatua zilizofikiwa katika utekelezaji...
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Mbunge jimbo la Moshi mjini Ibrahim Shayo alia na mkandarasi mradi wa TACTIC,amuomba Mwanri amtimue akidai hana uwezo

    Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
  4. L

    JamiiForums Mradi wa bandari unaoongozwa na China unafungua fursa mpya za kazi kwa Watanzania

    Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam. Leo, Mtanzania huyo anahudumu kama meneja wa rasilimali watu katika mradi mpya wa bandari ya Zanzibar...
  5. W

    JamiiForums Mradi wa Maji wa Miji 28 Singida, Serikali yakamilisha visima vya maji 10

    Serikali imefanikisha kazi ya kuchimba visima 10 mkoani Singida kwa kutumia wataalam wazawa na mitambo ya Serikali. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) kufuatia kazi hiyo amemkabidhi mkandarasi kampuni ya Megha Engineering and Infrastructure, visima hivyo kukamilisha utekelezaji wa mradi wa...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Ule mradi wa Bashe umeishia wapi?

    Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi? Vipi wale watoto wakike mliokuwa mnawala uroda kule na kuwabebesha mimba mmewasaidia au mmewatelekeza? Je CHADEMA ndiyo wamefelisha?
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Juzi ijumaa uchambuzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa kwenye gazeti la uhuru

    📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA. Na Bwanku M Bwanku. Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums DC Tarime akumbusha katazo la kuendeleza maeneo yanayoguswa na mradi wa ujenzi wa bwawa la TSF – North Mara

    Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja Edward Gowele, amewakumbusha wananchi wa Kijiji cha Nyangoto, Kata za Mangoto na Nyangoto, kuzingatia katazo la Serikali la kutofanya maendeleo mapya katika maeneo yanayoguswa na Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la TSF wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na...
  9. Masokotz

    JamiiForums Uzi Maalum wa Miradi na Biashara Zilizoanguka au kufilisika

    Habari za wakati huu; Ni mara chache sana watu hupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu ambao biashara zao zilifilisika au kuanguka kabisa.Biashara ndogo kubwa na za kati.Hi ni tofauti na ukweli wa kitakwimu unaoonesha kwamba asilimia kubwa za biashara hufa ndani ya mwaka wa kwanza. Nimeleta...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Labda safari hii mradi wa Liganga-Mchuchuma utaanza kweli

    Kampuni ya kichina iliyowekeza kwenye mradi huu imemaliza upembuzi. Inatarajia kuanza kazi serious mwishoni mwa mwaka huu. Mchuchuma kuna makaa ya mawe tani milioni 428. Mradi unategemea kuzalisha tani milioni 3 kwa mwaka na kuwa na mradi wa umeme wa makaa wa 600MW Huko Liganga kuna madini...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Mradi wa JNHPP: Fursa Mpya za Maendeleo Tanzania

    Samia Amkosha, Mbowe JNHPP! JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania. “Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
  13. Sir John Deere

    JamiiForums Lala pema Peponi John Pombe Magufuli Leo wamefungua mradi ulioanzisha bila kukutaja kama Icon wa mradi huo.

    Ni maajabu mradi ulioanzishwa na marehemu JPM kwa utashi wake Leo miaka mitano baada ya yeye kufariki unafunguliwa bila kumtambua kama kinara wa mabadiliko haya tunayoyaona. R.I.P watanzania bado tunakukumbuka.
  14. Expensive life

    JamiiForums Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
  15. MakinikiA

    JamiiForums Leo mradi unazinduliwa jambo la muhimu JPM aliwaahidi Watanzania umeme utashuka bei :

  16. D

    JamiiForums Bwawa la Kidunda: Mradi mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335. Mradi huu ni...
  17. The only

    JamiiForums RAIS MWINYI: Jina lako linapolomoka umaarufu kwa mradi usionatija wa MABASI

    Baba! Baba! Baba! Nimekuita mara tatu,hakuna mtu kajijengea jina zuri kwa marais ukiondoa Muasisi wetu karume kama wewe ,yaani Mheshimiwa umempiku mpaka Mzazi wako .Nia yako imethibitishwa hadharani wewe unaitakia mema Zanzibar ,toka ukanyage ikulu sijawahi kuona kasoro yako makuu ulofanya hata...
  18. A

    JamiiForums KERO Ujenzi wa Barabara ya Rangi Tatu - Kongowe unasuasua, kero kila siku, Bilioni 54 zilizotajwa kusimamia Mradi hazijasaidia?

    Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani. Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
  19. O

    JamiiForums Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Pamoja na kukopa trilion 51 ndani ya miaka 5 bado mradi wa SGR Unasuasua tatizo nini?

    Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
Back
Top Bottom