Mama alianza vizuri sana. Tukawa na matumaini makubwa. Jua la demokrasia likaanza kuchomoza. Sote tukadhani kuwa tumeanza safari upya tukiwa na injini iliyosukwa upya.
Nini kilitokea mpaka mradi huu wa kusuka injini ya safari yetu upya ukafa? Kuna anayejua?
Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1
Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo...
Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri.
Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
Mwaka wa 15 sasahivi tongu zianze kuletwa hadithi za mradi wa LNG Tanzania na mradi huo haujaanza hata kidogo mpaka Leo.
Tongu hadithi hizi zianze kuzungumzwa hakuna cha mradi wowote wa LNG umewahi kuonekana zaidi ya hadithi za hekaya za Abunuasi.
Wakati hayo yanafanyika jirani Msumbiji...
Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa.
Uamuzi huo umetokana na hofu ya uharibifu wa mazingira ya pwani, kufuatia ombi la wakazi wawili wa...
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA KIGOMA
📌 Majiko banifu 8,424 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Kigoma
📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi
📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,404
📍 KIGOMA
Wakazi wa Kigoma waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026.
Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori.
Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni...
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID.
Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
Anonymous (d037)
Thread
benjamin mkapa
katika
kazi
kuachishwa kazi
kulipwa
kusitishwa
mkapa
mradi
nssf tanzania
stahiki
taasisi
wafanyakazi
Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje.
Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa.
Naomba ujumbe...
Anonymous
Thread
changamoto
kutokana
makini
mradi
msingi
serikali
shule
shule ya msingi
uongozi
zaidi ya
Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu.
Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
TAKRIBANI watu milioni 1.5 kutoka Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma na Lindi wanatarajia kunufaika na mradi wa unaolenga kuboresha matumizi ya endelevu ya ardhi na kukuza uchumi wa ndani (FORLAND) wenye thamani ya Euro milioni 20.
Mradi huo ambao wa miaka minne...
Kigamboni PUNA ya MOTO🔥🔥🔥
Karibu blchomes estates ujipatie viwanja maeneo ya kigamboni Puna
✅PUNA BEACH PLOT
Mita 650 kutoka site mpaka beach
20,000 kwa sqm 1 malipo ya cash
Unaweza kuilipa ndani ya miezi 3
22,000 kwa sqm 1 malipo ya kidogokidogo
Unaweza kuilipa ndani ya miezi 15
✅PUNA...
Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali
Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
Nimesikitishwa na hii habari ya gazeti la the citizen kuhusu maghorofa ya Magomeni Kota. Lawama wametupiwa zaidi wapangaji kwa kushindwa kutunza mazingira ya hilo eneo zikiwemo majengo. Pia wamekuwa wakikaidi kulipa gharama za usafi na zingine za kuhakikisha mradi unakuwa sawa. Wewe una maoni...
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa moja, na zisizo rasmi takribani 5,000
Katika uzinduzi huo uliofanyika leo Rais Samia amesema: "Kituo...
erikali ya Tanzania imetoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Mwenga Hydro Ltd uliopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Hayo yamebainishwa leo Julai 31, 2025 wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ilipotembelea na kukagua mradi wa kuzalisha umeme wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.