mpya

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kwanini mnatangaza ajira kabla ya kuweka sawa mfumo wa kutuma maombi?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi 1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa? 2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli? 3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla? 4. IT...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati wa wanaCCM kupigania Katiba Mpya. Vinginevyo watabaki wakilalama na kulia kila siku

    Ufisasi, upendeleo na ubwanyenye umekuwa kama sasa ni sehemu ya maisha ya CCM. Na hii ni sababu hakijawahi kuondolewa madarakani kama chama tawala. Ingetokea tu siku moja CCM ikashindwa uchaguzi na wale wanaoshutumiwa kuiba mali za umma kwa mgongo wa CcM wakafungwa basi kuna baadhi ya wanaCCM...
  4. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  5. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

    Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga. Hakuna mtu ajuaye kila kitu. Sasa basi, leo ngoja niulize. Katika Tanzania yetu hii...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Askari wa usalama aliyevaa kiraia akielekeza magari kwa makini mtaa wa posta mpya Dar es Salaam

    Yupo makini kwa kazi yake
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

    Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule. Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza.. Kwa...
  9. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa

    Hii ni tafakuri ya wazi kufahamu tunasimama wapi. Zanzibar kunazidi kunoga. Bila shaka uchumi wao ukiwamo wa mtu mmoja mmoja kwa sasa unazidi kupaa kwa kasi kuliko popote duniani. Washukuriwe marais Mwinyi na Samia wana shupavu wa kitanzania. Uvuvi wa majahazi unaondoshwa na wavuvi sasa...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif: Pakistan inapendelea zaidi Amani na Uhusiano wa kushirikiana na India

    Waziri Mkuu mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif amesema nchi yake inapendelea zaidi amani na uhusiano wa kushirikiana na India, mtazamo ulioonesha kuchaguliwa kwake huenda kukatoa nafasi mpya ya kuwepo maelewano ya kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili jirani zenye silaha za Nyuklia. Katika ujumbe...
  12. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

    Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao. Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote. Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz Kila la kheri vijana.
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Shahbaz Sharif, Waziri Mkuu mpya Pakistan

    Bunge la Pakistan limemchagua Shahbaz Sharif kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, baada ya Imran Khan kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye mapema siku ya Jumapili Aprili 10, 2022. Kiongozi wa muungano wa upinzani ambaye alikuwa amefanya kazi ya kumwondoa Khan alipata uungwaji...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ramani mpya ya Afrika Mashariki haioneshi Zanzibar, Inabidi kuwe na masahisho

    Upande wa kwanza Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika ikapatikana Tanzania, katika huu muungano Zanzibar inabidi iwe na raisi au makamu wa raisi wa Tanzania, Pia Wazanzibari katika huu muungano wapo Mawaziri, mabalozi, wakuu wa taasisi, wabunge, Idara za ulinzi, waajiriwa, n.k. Lakini kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi kikwazo kikuu Katiba Mpya

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba Mpya ni majumuisho ya mustakabala ulio bora zaidi katika uendeshaji wa nchi kwa wakati husika. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kupinga matumizi au ujio wa mustakabala kama huo. Taabu gani makwetu Tanzania basi? Kwa hakika ubinafsi uliopitiliza ndiye aliye...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Afungua kesi Mahakamani kupinga usajili mpya wa laini za simu, ataka picha za wateja zifutwe

    Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba. Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe 1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani 2. Kwa...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gawio la mabenki ya Kenya lavunja rekodi mpya, Bilioni 51.7

    Hili soko linatisha balaa..... Na sasa tumeteka DRC ============================ Local listed banks nearly trebled their dividend payout for the 2021 financial year, rewarding shareholders who have seen a mixed performance in capital gains on their stock in the period. The nine lenders...
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

    Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
Back
Top Bottom