Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma, imebidi niingine chimbo kutafuta majibu.
MDAU WA KWANZA (KATEKISTA)
Kwanza kabisa nimewasiliana na...
“Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?”
Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu.
Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri, alikuwa wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na Rais wa ajabu, akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya...
Kwema!
Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi;
Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu.
Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na...
Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo.
Walisema umoja ni nguvu.
Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote.
Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana.
Shughuli hii inahitaji watu, tena...
Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
Ni kweli watanzania wanahitaji katiba mpya?
Kabla ya kuanza kutekeleza hitaji la katiba mpya, ni lazima tujue watanzania wangapi ni wahanga wa katiba ya Sasa.
Tukishajua wako wangapi ni lazima pia tujue pia muamko wao pia.
Kupitia muamko huo, tutapata kujua uelewa wao wa katiba iliyopo...
Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba.
Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu.
Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea au awaye yote kwamba wanaweza kujimilikisha mustakabala wa msingi wa nchi hii.
Labda kama wanataka...
Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam.
Kikosi kazi chini ya mwenyekiti wake, Rewakaza Mkandala kimependekeza Tanzania ianze mchakato wa kupata...
Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu.
Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa za kufunga hvo nikaanza kujitoa taratibu upande wake nikabaki kuwa mtazamaji tuu ila kama...
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi...
Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba.
Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?
Wanajamvi,
Habari zenu.
Moja kwa moja kwenye mada. Ni kama wiki imepita tangu mkuu wa mkoa( mhandisi Gabriel) alipo fika stendi mpya ya mabasi iliyoko nyamhongolo kwa ajili ya makabidhiano kati ya mkoa na mkandarasi.
Wakati wa makabidhiano mkuu wa mkoa aligusia mchakato wa wilaya husika ya...
"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.