Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,239
22,675
Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana,
tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu.
Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule.

Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza..

Kwa sasa marioo na harmonize ndio game changer wa bongo fleva tuliobaki nao huu ni ukweli mchungu.
FB_IMG_16499589866292182.jpg

FB_IMG_16499591600739882.jpg
 
For me sijaona ukali wa Hiyo ngoma kuanzia melody, beat mpaka corus labda uniambia kwenye uandishi angalau wamejitahidi
 
Back
Top Bottom