Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama.
Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja.
Akasema kuwa hali...
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
Zinarudi zote na zinaweza kuzidi,
Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote.
Unahitaji akili za kawaida kabisa...
Habari wakuu
Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa
Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.
1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.
2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
Straika mpya wa Al Nassr, Mkolombia, Jhon Duran atalazimika kusafiri Kilomita 500 kila siku kwaajili ya kwenda na kurudi katika mazoezi yaa klabu yake hiyo mpya.
Duran aliyesajiliwa kutokea Aston Villa, ataishi Bahrain na mpenzi wake kutokana na sheria za Saudi Arabia kukataza kuishi kinyumba...
Hatimae tumefikiwa.
J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.
Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi.
Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria.
Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
Kwa ufupi mwaka wangu mpya umeanza rasimi tarehe moja ya February, ule mwezi wa kwanza ulikua ni mwezi wa majaribio.
Leo nawapeni hizi codes ambazo utumiwa na mjambazi Ku survive mtaani
Kanuni 10 za Majambazi za Kuishi Katika Vita vya Maisha
Uaminifu ni Kila Kitu – Usimsaliti mtu...
Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦.
1. Misri 🇪🇬
2. Algeria 🇩🇿
3. Nigeria 🇳🇬
4. Afrika Kusini 🇿🇦
5. Ethiopia 🇪🇹
6. Angola 🇦🇴
7. Moroko 🇲🇦
8. DR Congo 🇨🇩
9. Sudan 🇸🇩
10. Libya 🇱🇾
11.Tunisia...
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa
Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake
Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri...
Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora.
Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia:
Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K
TCL UHD Smart 4K
Zote zinauzwa kwa...
Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena.
Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.