mpya

  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Niger: Abdourahamane Tchiani aapishwa kuwa Rais wa mpito chini ya sheria mpya

    Kiongozi wa kijeshi wa Niger, Abdourahamane Tchiani, Jumatano ameapishwa kama rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha miaka mitano chini ya katiba mpya ambayo inachukua nafasi ya katiba ya taifa hilo la Afrika Magharibi. Hatua hiyo ilipinga vilivyo majaribio ya kambi ya kikanda...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Habyarimana na madai ya katiba mpya

    Unapoitazama nchi ya Rwanda leo huwezi kuamini kwamba kuna wakati ilitawaliwa na Wahutu tangu ilipopata uhuru mwaka 1962. Nchi hiyo iliyokuwa koloni la Ubeligiji ilipata uhuru wake na kukabidhi kwenye utawala wa kiraia chini ya Rais Gregoire Kayibanda aliyekuwa mwanamapinduzi kupitia vuguvugu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Uongozi mpya wa CHADEMA unahujumiwa

    Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush. no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe. mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania China yaja na technolojia mpya ya kuunganisha mtandao

    Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Momba: TARURA Yafungua Barabara Mpya ya KM 8.24 Wilayani Momba

    MOMBA: TARURA YAFUNGUA BARABARA MPYA YA KM 8.24 WILAYANI MOMBA Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya Momba...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

    Utangulizi Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

    Kwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindikana kuwahamisha wapalestina, Gaza sasa kujengewa uwanja mpya wa ndege

    Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC hapo juzi ilipitisha mpango wa kuijenga upya Gaza uliasisiwa na mawaziri wa nchi za kiarabu wiki mbilli zilizopita, Katika mpango huo jumla ya dola za Marekani bilioni 53 zitatumika kufanya ujenzi huo awamu kwa awamu. Miongoni mwa miradi ya ujenzi huo ni pamoja...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

    1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. 2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo 3. Wizara ya Fedha inataka mtu mnyoofu na mweledi...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi Wagundua Mfumo Mpya wa Kinga ya Mwili

    Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria. Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  16. indundidotcom

    JamiiForums Tanzania AJIRA MPYA NA CONNECTION (MTU NA MTU WAKE)

    Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira. Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!! Ni juzi amedai ajira zinatoka kwa uwezo!!! Ni juzi wasailiwa wametoka na kudai kuwa usaili unajanjajanja...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  18. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyo nikuta katika kukopa kwangu ili yawe funzo kwa wengine wa lamba asali

    Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
Back
Top Bottom