monakule
Member
- Sep 29, 2012
- 87
- 23
Wahusika naomba wafanyie kazi hii,
Kuna basi zinazopeleka abiria vijijini kutoka Geita hasa hii inayojulikn Bibi family, inafanya safari Geita Nyehunge kupitia Nzera
Kuna mtindo wa abiria kulipishwa mizigo alionao bila utaratibi
Wizi uko hivi, abiria anapanda na mzigo na analipa nauli yake lakini ya mzigo halipishwi wakati huo, akifika anakoelekea wanamtajia sasa nauli ya mzigo yoyote kadiri wao watakavyotaka, kama abiria atapungukiwa na kiasi hicho basi mzigo wanaondoka nao na hautaupata tena, na kama utakuja ulizia mzigo wako wanadai hawakutambuin ni wakali asikwambie mtu, na basi moja linaweza likawa na makondakta hata 7 na zaidi
Nimepata watu wengi sana wenye malalamiko kama hayo,
Naomba mamlaka husika hapo Geita wafanyie uchunguzi na watatue kero hii, ni bora, mzigo utozwe kabla ya safari kuriko kushtukizwa njini huu ni wizi mpya ya wenye magari au makondakta wa mabasi hyo