Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso.
Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?
Katika uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo mkubwa kwenye kuimarisha sekta ya kilimo (sekta inayoajiri 60% ya watanzania), hatua inayojenga msingi wa maendeleo jumuishi ya taifa. Tathmini ya sera, mikakati na hatua zilizochukuliwa zinaonyesha mwelekeo mzuri wa kulibadilisha...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
#sale
APPERTMENT ZINAUZWA “””
ZIPO ZA VYUMBA VITATU “”
ZIPO ZA VYUMBA VIWILI
ZOTE ZINA WAPANGAJI
VYUMBA VITATU NI LAK 700K
VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K
UKUBWA WA KIWANJA
NI SQMT 1200””
KUNA HATI MILIKI
OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO
LOCATION
MBWEN MPIJI...
#sale
APPERTMENT ZINAUZWA “””
ZIPO ZA VYUMBA VITATU “”
ZIPO ZA VYUMBA VIWILI
ZOTE ZINA WAPANGAJI
VYUMBA VITATU NI LAK 700K
VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K
UKUBWA WA KIWANJA
NI SQMT 1200””
KUNA HATI MILIKI
OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO
LOCATION
MBWEN MPIJI...
Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa?
Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!"
Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani.
Pengine idea...
Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii?
#NoReform_NoNEWPope#
Vatikan huweka kemikali ya inayotoa moshi mweupe au mweusi wakati wa kuchoma karatasi za kura katika uchaguzi wa Papa mpya. Mfano:
MOSHI MWEUSI (ishara kwamba hakuna Papa mpya amechaguliwa bado) hutokana na kuchoma karatasi za kura zilizochanganywa na kemikali kama perchlorate, potassium...
Papa anapofariki au kujiuzulu, mchakato wa kumchagua papa mpya huanza na kongamano, ambapo makadinali walio na umri wa chini ya miaka 80 hukusanyika katika Kanisa la Sistine Chapel.
Baada ya kifo cha papa (au kujiuzulu), Camerlengo inasimamia masuala ya Kanisa kwa muda. Vatikani inajiandaa kwa...
Salaam!
Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi.
Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla.
Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia...
Apartment mpya inauzwa Kariakoo
Vyumba vitatu ya kulala
Kimoja master
Ina Furniture
Ipo ghorofa ya Nane
Jengo lina Lifti
Jengo ni jipya
Bei TSh. 280m
Call/WhatsApp +255758 844 717
Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano.
Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...
Simba imepata ufadhili mkubwa mno haijawahi tokea Tanzania.
Ikumbukwe Rais Samia kipindi cha nyuma kidogo aliahidi kuzitafutia Simba na Yanga ufadhili.
Je, hii inaweza kuwa ndo utekelezaji wenyewe wa ahadi. Huyo mzabuni aliyeshinda ni geresha tu kuna watu wako nyuma,tutajua zaidi.
Ngoja...
Kama kawaida kila nikipita pale kivukoni huwa naangalia mapungufu, nilianza na la chenji ya mia mia kutorudishwa. Na leo nimebaini abiria wakinunua tiketi pale dirishani pale sehemu ya kuscania inawekwa nyuma ya tiketi nyingine huku ikitunzwa vizuri bila kuharibiwa. Hii inamaanisha zinarudishwa...
Gorofa la kumalizia
linauzwa ni nzur sana””
Lina vyumba vitano
master
Ukumbwa wa kiwanja
ni square mitter 1200”
Price million 500”
maongez yapooo
Kuna hat miliki
Locationbahar beach
🇹🇿call/whatsapp +255758844717
Mshambuliaji Mohamed Salah hatimaye amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao ulitarajiwa kumalizika Juni 2025.
Baada ya kusaini amesema “Nimefurahi, tuna timu nzuri, tuna nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.