mpya

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mohamed Salah asaini Mkataba mpya wa miaka miwili na Liverpool

    Mshambuliaji Mohamed Salah hatimaye amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao ulitarajiwa kumalizika Juni 2025. Baada ya kusaini amesema “Nimefurahi, tuna timu nzuri, tuna nafasi ya...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na $8,000 unapata Mac Pro mpya kutoka Apple, au unapata BYD Seagull EV na makaratasi yake!

    Maisha ni kuchagua, hustle zako, pesa yako! Mac Pro kutoka Apple official website inauzwa $8,000+ tu, mpya. Kwa wataalamu wa computer, hii ni CPU peke yake bila screen (monitor yake), ila utapewa na touchpad na keyboard kwa hiyo bei. (Total bei cheki picha hii kwa juu)! Specifications: RAM...
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania X wangu kaja hivi baada ya kujua nimepata mpenzi mpya

    Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
  4. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtaala mpya Kwa level ya Advance

    Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025. Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha wakuu
  5. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa A level Kwa 2025/2026

    Habari wakubwa, natumai mko vizuri, Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, nilikuwa naomba Kwa wale wadau wa elimu wanisaidie nifahamu topics za Biology, Chemistry na Physics hasa Kwa Form five, lakini pia kama naweza kupata Pdf ya hivyo vitabu nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya pekee haitoweza kuleta mabidiliko yanayohitajika kwenye taifa kama mamlaka hazitoacha pia na uchawa

    ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo. Uchawa kwenye mamlaka...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tafiti mpya yabainisha ubora wa kinywaji kijulikanacho kama mbege!

    -UTAFITI UNAPINGWA NA UTAFITI-- Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania na kuchapishwa na jarida kubwa la Nature Medicine la nchini Uingereza, umebaini kuwa lishe ya asili ya Kiafrika ina faida kubwa kwa afya ya binadamu ikilinganishwa na lishe ya Kimagharibi. Utafiti huo uliofanywa na...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

    Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki. Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya Wanachma wa TP OK Jazz ambao bado wapo hai

    1. Lokombe Ntal (mwimbaji) - Ufaransa 2. Makosso Kindudi (gitaa la rhythm) - Ufaransa 3. Flavien Makabi (gitaa la besi) - Ufaransa 4. Sam Mangwana - Angola 5. Kakoma Nado (ngoma) - Paris, Ufaransa 4. Mukulu Muki (Tarumbeta) - Brussels, Ubelgiji 5. Dele Pedro (Sax) - Brussels, Ubelgiji 6. Iblo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini mwaka mpya huwa ni tarehe 1 january na siku ya wajinga ni tarehe 1 Aprili?

    Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari. Kuna watu hawakukubaliana...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ujio wa G55 na mwelekeo mpya wa Chadema

    Wakati uongozi wa Chadema ukikutana na watia nia ya kugombea ubunge na udiwani katika ofisi ya makao makuu jijini Dar es Salaam Machi 3, 2025, kundi hilo linaundwa na wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chadema wa 2020 na 2025, limewasilisha maoni yake kwa maandishi likipinga kampeni ya No...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, unaunga mkono hoja ya kuongezewa muda Rais aliyepo mamlakani Ili kusimamia Reforms kupata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi baada ya 2025?

    Helow! Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka. Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  14. B

    JamiiForums Tanzania MJI WA MAKAMBAKO NDO CENTRE YA KANDA MPYA YA UWEKEZAJI YA NYASA INAYO JUMUISHA MIKOA YA IRINGA ,NJOMBE NA RUVUMA

    Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bayern yasuasua kumpa Thomas Muller mkataba mpya

    Klabu ya Bayern Munich inadaiwa kuwa inajianda kusitisha mpango wa mazungumzo ya mkataba mpya na mshambuliaji wao mkongwe, Thomas Muller kutokana na kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza huku umri nao ukionekana kuanza kumuacha. Kocha wa Bayern, Vincent Kompany amekuwa akiwatumia...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania 18+ : Nimeshangaa sana. Hii mpya kwangu... Hivi ni tamu kiasi hicho?

    Nimekaa na huyu dada muda mrefu toka asubuhi. Tunapiga stories n.k akasema anajisikia baridi.nikamwambia basi nizime AC akasema hapana nimkumbatie. NIkamkumbatia.basi akaanza kama kulalamika kama mtu anayesikia maumivu kwa ndani anajinyonga nyonga....akanichukua mkono....kuupeleka sehemu zake...
  17. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

    Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,000/= DStv Bomba - 27,000/= DStv Family - 39,000/= DStv Compact - 67,000/= DStv Compact Plus - 116,000/= DStv Premium - 185,000/= Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza...
  18. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa 🤔

    Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋 Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya...
  19. monakule

    JamiiForums Tanzania Wizi Mpya kwenye mabasi ya Geita

    Wahusika naomba wafanyie kazi hii, Kuna basi zinazopeleka abiria vijijini kutoka Geita hasa hii inayojulikn Bibi family, inafanya safari Geita Nyehunge kupitia Nzera Kuna mtindo wa abiria kulipishwa mizigo alionao bila utaratibi Wizi uko hivi, abiria anapanda na mzigo na analipa nauli yake...
  20. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Forest mpya

    Kiwanja kinauzwa Forest mpya sq 2100 tshs 80m, mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050, nyote mnakaribishwa!!
Back
Top Bottom