mpya

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Borussia Dortmund kama Yanga, wapata mdhamini mpya lakini hawataki rangi nyekundu ya mdhamini huyo

    Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepata mdhamini mpya ambao ni kampuni ya Vodafone. Kampuni hiyo hutumia rangi nyekundu. Sasa Dortmund wamegomea rangi hizo nyekundu za mdhamini na kuwataka watumie rangi ya njano kama ilivyo jezi yao. Ikumbukwe rangi nyekundu waliogomea Dortmund huwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni Ndesamburo mpya hazuiliki

    Marehemu Ndesamburo alikuwa hazuiliki kwasababu alikuwa tajiri na pesa yake haikutegemea serikali alikuwa na viwanda muhimu na biashara za utalii pesa yake ilikuwa ndefu huwezi kuizuia na nyingine inabaki huko huko wanakotoka wazungu wageni wake Gwajima anapesa kwanza za kanisa na misaada...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  6. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

    Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea. Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf. Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi. Tajiri Sina BAYA Machache kuhusu mimi. 1. Nina hela. 2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi. 3. Nina hela. 4, 5, 6, 7, 8...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

    Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza? Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live from Four Points by Sheraton DSM: Uzinduzi wa Muongozo Mpya wa Huduma Biashara za Sekta wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)

    Wanabodi Niko hapa hoteli ya Four Points by Sheraton jijini DSM kuwaletea uzinduzi wa muongozo mpya wa ufanyaji biashara wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ili Kurasimisha Biashara Ndogo Ndogo na Biashara ZIsizo Rasmi za Sekta Binafsi. Karibuni Paskali
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Safu mpya ya uongozi CHAUMMA

    Safu Mpya Viongozi Wakuu wa CHAUMMA:- Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza safu mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kile walichoeleza ni kuleta mabadiliko ya kweli nchini: 🔹 Salum Mwalimu – Katibu Mkuu CHAUMMA 🔹 Devotha Minja – Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara 🔹 Benson Kigaila – Naibu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uchawa Ndani ya CCM: Njia Mpya ya Kisiasa au Hatari kwa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
  12. Msolo

    JamiiForums Tanzania Je, Huu ni mwisho wa ubunifu mpya kwenye simu?

    Za Weekend Wakuu! Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya mwanzo ya iphone 2007. Je, unakumbuka enzi zile kila mtu alikuwa na simu tofauti na ya mwenzake, kila...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ewe Mmiliki wa Shule/Chuo Tumia Njia hizi MPYA Za Kuandaa Hesabu Za Biashara Yako 2024

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  14. John Sin

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

    Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe. Yangu hayo tu.
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Video: Sakata la Elie Mpanzu lachukua sura Mpya. Ayaibua mengi mazito

    Hili limechafua hali ya hewa
  16. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya inauzwa ipo Bunju bei ni milioni 350

    #salesalesale NYUMBA MPYA NZURI NA YAKISASA INAUZWA INA HATI MILIKI #INA VYUMBA VINNE VYOTE NI SELF CONTAINED FULL AC & HEATER, SEBULE KUBWA ,STUDYING ROOM, DINNING NA JIKO LAKISASA #INA SERVANT KOTA, GARDENS, FENSI YA UMEME, GETI LA REMOTE NA PARVING #UKUMBWA WA ENEO SQMT 700 #BEI...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Barcelona, Wojciech Szczesny asema anasubiri jibu la mkewe kama asaini mkataba mpya au aachane na soka

    Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka. Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, alisajiliwa Oktoba 2024 ikiwa ni Mwezi mmoja tangu atangaze kustaafu akitokea Juventus...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  19. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Muonakano mpya wa General Surovikin baada kupunguza kg 40

    Moscow: Jenarali katili aliye iadhibu Ukraine pamoja na Wanamgambo wa NATO na kufanikiwa kuteka miji muhimu huko Ukraine ameamua kupunguza uzito kg 40 na kubaki na mwili mwepesi kiutendaji kivita. NB: Sasa we endelea kumeza vitumbua tu na safari za moto.. General Surovikin's transformation...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

    ✍️ #Ibraah “Sito kusifu roho mbaya na wala sito kutangazia mabaya yako na ndio mana hata waandishi wa habari na wakwepa mana sitamani kuona unaandikwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii wewe ni Kiyoo ila chenye ukungu lakini pia ninacho amini msaada wako katika maisha yangu ni mkubwa umeni saidia...
Back
Top Bottom