Mr David Concar has been appointed British High Commissioner to the United Republic of Tanzania in succession to Ms Sarah Cooke who will be transferring to another Diplomatic Service appointment. Mr Concar will take up his appointment during August 2020.
CURRICULUM VITAE
Full name: David...
Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
Rais mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amekosolewa kwa kuteua Baraza la Mawaziri linalojumuisha Mtu na Mke wake pamoja na watu wengine ambao ni ndugu
Sidik Mia, ambaye ni Mgombea mwenza wa Rais huyo katika Uchaguzi wa mwaka 2019 amechaguliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi huku mke wake, Abida Mia akiwa...
LEO Julai 9, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Kamanda wa Kikosi cha Polisi TAZARA, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kuchukua nafasi ya Godfrey William Ngupula.
Mbali na uteuzi wa ACP Bulimba...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA [MWONGOZO]
UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
OKTOBA 2020 TANZANIA
Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
UTANGULIZI
Ugonjwa wa Korona – COVID-19
Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania
’CCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani ’ Bernard Membe
Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.
Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'...
Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo.
Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri.
Maendeleo hayana vyama!
Tangu mwanzoni mwa mwaka huu watu wengi wamekuwa wakiongelea janga la virusi vya corona ambalo limetikisa dunia nzima. Watu wote wameguswa na ugonjwa huu wa COVID-19 kwa namna moja ama nyingine, mana kama si ndugu yako kuugua ugonjwa huu basi ni rafiki au jirani yako. Lakini nchi na mtu mmoja...
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.
Ikiwa ni chini ya saa 24 tangu kuapishwa kwake, Rais mpya wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Peter Mutharika ili aweze kushtakiwa.
Vilevile, ili kuhakikisha kuwa mizizi ya utawala katili uliojawa na rushwa uliopita inang’olewa na...
MJUE RAIS MTEULE WA MALAWI MH LAZARUS MCCARTHY CHAKWERA
Na Elius Ndabila
0768239284
Nchi ya Malawi wiki hii ilifanya uchaguzi ambao matokeo rasmi yametangazwa leo na kumpatia ushindi Mh CHAKWERA. Ikumbukwe Malawi imefanya Uchaguzi huu baada ya mahakama ya juu ya Malawi kutengua matokeo yaliyo...
Baada ya kudhibitiwa kwa kuenea kwa virusi vya Corona, uchumi wa China umeaanza kufufuka kwa kasi. Na manunuzi mtandaoni yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa uchumi.
Mjini Shanghai, takwimu zinaonyesha kuwa katika mwezi Mei, thamani ya manunuzi kupitia mtandao wa internet imefikia takriban Yuan...
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.
Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo...
Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.
Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma...
Katika kuongeza ajira katika sekta binafsi na serikali kuwekeza ili kupata kodi baadaye, napenda kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli kusaidia watanzania kukuza uchumi wao kwa kupendekeza mambo yafuatayo:
1. Serikali iruhusu mtu yoyote kuanzisha biashara yoyote halali na kupewa tax break kwa...
Bila shaka kama mkakati wa kuongeza mapato ya serikali, bila kujali athari kwa wafanyakazi, hasa wastaafu, serikali ya Rais Magufuli imekuja na "uboreshaji" wauchangiaji huduma za Afya kwa njia ya Bima.
Wafanyakazi wa serikali na mashirika yake, kwa mujibu wa sheria, hukatwa michango ya...
TUME HURU na MGOMBEA HURU
2020 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama huchaguliwi basi unachagua. Kama hupigiwi kura na hupigi kura lazima kuna sababu inayokuzuia. Kuna watu wengi wanaruhusiwa kupiga kura lakini hawaruhusiwi kupigiwa kura. Wana haki ya kuongozwa tu lakini hawaruhusiwi kuongoza. Katiba...
UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA
Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta
Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...