mpya

  1. S

    Ni vipi au kwa njia gani - Inawezekana kupatikana KATIBA MPYA

    Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito...
  2. Kwenye vilabu vya Simba na Yanga ni nani mwenye mamlaka ya kufukuza kocha au kuleta kocha mpya?

    Wakuu swali limejieleza vizuri sana , sasa naomba kufahamishwa mwenye mamlaka ya kuleta kocha na kutimua , na huwa wanatumia vigezo gani ? Taarifa nyingi za kutimuliwa kwa makocha wa vilabu hivi tunazipata bila hata kusikia vikao vya uongozi wa vilabu husika , Baada ya Kishingo kuachia ngazi...
  3. I

    Maombi kwa mwaka mpya wa 2021 na shukurani kwa Mungu kwa kutuvusha

    Maombi ya kuuaga mwaka wa 2020 na kuukaribisha mwaka mpya 2021. E Mungu Muumba mbingu, nchi na maji. Nakushukuru kwa kuwavusha watanzania wezangu salama katika mwaka wa 2020 na kuwakabidhi mwaka mpya wa 2021. Mungu mwaka ulio upita utufundisha mengi sana ila moja kubwa tulilo kubushwa ni...
  4. Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi Amewaomba wadau...
  5. Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
  6. Happy birthday Mwaka Mpya: Nimemwagiwa maji kitandani

    Sina zaidi ya salaam maana naona ata uvivu kuandika, nasema haiwezekani Leo nipo nimelala zangu kitandani mara naskia Mwaaaaa nakurupuka ni nini nakutana na kitu maji yamejaa kitandani sio godolo sio shuka vyote chapa chap, nauliza kulikoni eti siku yangu ya kuzaliwa, Tena angalau wangechukua...
  7. T

    Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Na: Mwesa, C.W DODOMA. 31.12.2020 Ndugu watanzania wenzangu na wanachama wenzangu wa chama pendwa cha watanzania wote na Afrika kwa jumla, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa hakika tunayo mambo mengi ambayo kimsingi tumeyapitia kama taifa kwa jumla na ki-nafsi kila mmoja kwa nafasi yake. Hata...
  8. Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  9. Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

    Wasalaam wana jamvi Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021 Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa. namnukuu anasema "Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa...
  10. F

    Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

    habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha.. Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu.. naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia heri ya mwaka mpya
  11. Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

    Kuelekea mkesha wa mwaka mpya, Jeshi la Polisi Nchini limewataka Wananchi watakaokusanyika katika fukwe za Bahari na Maziwa kurejea nyumbani ifikapo saa 12 jioni. Vilevile uchomaji wa Matairi umepigwa marufuku na kwakuwa unasababisha uharibifu wa miundombinu mingi ambayo imejengwa kwa gharama...
  12. B

    Wanyonge mnazungumziaje sherehe za xmas na Mwaka mpya?

    Taifa lenye maendeleo ni taifa lililo na furaha. Binadamu aliyeendelea hutenga muda wake kufurahi na familia pamoja ndugu kupitia likizo bila kujali aina ya kazi anayofanya au kupitia public holiday. Ninahusianisha Tanzania kuingia uchumi wa Kati 2020 na furaha ya Mtanzania. Ni kweli ipo furaha...
  13. N

    Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

    Goood guuud safi sana kali aiseee
  14. S

    Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka?

    Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka? 1. Utaanzaje na atakuchukuliaje? 2. Vipi zikimshinda itakuwaje, na atajisikiaje? 3. Vipi akikukatalia utajisikiaje? 4. Baada ya namba 2 na 3 kutokea ndoa itakuwa salama? Styles ambazo zimezoeleka ni ...kifo cha mende ...mbuzi kagoma...
  15. X

    VIMBWANGA MATUKIO CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

    Kuachana na kusherekea sikukuu hizi kwa kupata burudani mwanana Pia tuna ndugu zetu wa kidigital hutufurahisha sisi tuliokosa location Nabandika vimbwanga vyangu nilivyoshuhudia hapa duniani mwaka huu nawe bandika vyako :D:Dtamka neno moja la kijasiri :D Mubashara
  16. CUF inawatakia wananchi heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2021

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI HERI YA KRISSMASI NA MWAKA MPYA 2021
  17. Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

    Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze. Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi...
  18. L

    TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba. Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
  19. U

    Tazama VIDEO mpya ya Rosa Ree -That Gal

    The Goddess Rosa Ree has come through with another BANGER titled #ThatGal The Tanzanian female rapper does not seize to amaze us with her versatility and limitless talent. In this new joint she has fused 3 languages that is English, Swahili and the Jamaican patwaa. The command and authority...
  20. Kuelekea sikukuu za xmas na mwaka mpya kwa niliowakwaza

    Mimi Doctor Pancho, Kuelekea mwishoni mwa mwaka na tunakaribia sikukuu hizi. Kwa wale niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine, Ama hata kuwatusi maana mikwaruzano kwa binadamu ni kawaida. Hivyo ningependa niwaambie tu hicho kilikuwa kionjo, Mwaka mpya nitakuja moto zaidi ya hivyo nilivyokuwashia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…