Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU afande Hamduni anza na Tanga

Standards Person

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
673
859
Afande Hamduni hongera sana kwa kuaminiwa.

Takukuru Tanga inakila sababu ya kumulikwa kwani inaungana na wanaotuhumiwa.

Wapo watumishi wasio waadilifu pale zikitolewa taarifa za rushwa wanawapa taarifa wale waliotuhumiwa.

Takukuru Tanga wananunulika kwa uwazi kwani mlalamikaji anawekwa mahabusu na mlalamikiwa akichapa mkono kisa ana hela na cheo.

Kuna kesi za ardhi kuuzwa marambili na hela kutofika Serikalini lakini hakuna jipya kutoka kwao. Yupo bwana ardhi anasema hao ni wenzetu

Takukuru Tanga wanakatisha tamaa wapinga rushwa,hawajui maana ya kutunza siri wanasaliti kazi yao,ubinafsi umewajaa baadhi ya watumishi
 
Kimeumana tayari.. Next week Tanga kitawaka!
Tanga ni jipu kubwa sana! Matajiri Tanga wanafanya wanavyotaka,wanazulumu watu Aridhi zao mchana kweupe, na hata ukienda ku report police, police nao wanawaita na kuvuta mpunga, basi mlalamikiji file lako linatupwa pembeni huku wanakupigisha kwata ya nenda rudi hadi mwenyewe unajikatia zako tamaa!
 
Tanga ni jipu kubwa sana! Matajiri Tanga wanafanya wanavyotaka,wanazulumu watu Aridhi zao mchana kweupe, na hata ukienda ku report police,police nao wanawaita na kuvuta mpunga,basi mlalamikiji file lako linatupwa pembeni huku wanakupigisha kwata ya nenda rudi hadi mwenyewe unajikatia zako tamaa!!
Tuamini Hamduni atafanya jambo
 
Tuamini Hamduni atafanya jambo
Yaani tuombe Mungu sana Kamanda Hamduni asimamie haki! Mimi ni Muhanga pale Tanga hadi leo bado Police wananipigisha kwata,tena sasa hivi Mpelelezi wangu eti lawama anawatupia office ya DPP Tanga ndiyo inachelewesha kupeleka kesi Mahakamani,na office ya DPP nayo inasema mpelelezi hataki kukamilisha Upelelezi! Basi nimebaki Kati tu naangalia mafahari wawili wanavutana,lakini wao hawajui kua ninaeumia ni Mimi!!
 
Nazidi kukuuliza ulimtaka akakukataa huyo DED? Una kisrani naye
Mkuu kolola,Kama kweli kuna Watumishi Wazembe na wala rushwa acha washulikiwe mara moja, safari hii hakuna kuoneana,ni mwendo wa kufuata Sheria! Mtumishi yoyote mwenye makandokando lazima ashuhulikiwe kwa mujibu wa Sheria!
 
Yaani tuombe Mungu sana Kamanda Hamduni asimamie haki! Mimi ni Muhanga pale Tanga hadi leo bado Police wananipigisha kwata,tena sasa hivi Mpelelezi wangu eti lawama anawatupia office ya DPP Tanga ndiyo inachelewesha kupeleka kesi Mahakamani,na office ya DPP nayo inasema mpelelezi hataki kukamilisha Upelelezi! Basi nimebaki Kati tu naangalia mafahari wawili wanavutana,lakini wao hawajui kua ninaeumia ni Mimi!!
Wasiojua haya mambo tukilalamika wanasema tuna chuki na watu.
Hakuna chuki,ukiumizwa lazima upige kelele
 
Afande Hamduni hongera sana kwa kuaminiwa.

Takukuru Tanga inakila sababu ya kumulikwa kwani inaungana na wanaotuhumiwa.

Wapo watumishi wasio waadilifu pale zikitolewa taarifa za rushwa wanawapa taarifa wale waliotuhumiwa.

Takukuru Tanga wananunulika kwa uwazi kwani mlalamikaji anawekwa mahabusu na mlalamikiwa akichapa mkono kisa ana hela na cheo.

Kuna kesi za ardhi kuuzwa marambili na hela kutofika Serikalini lakini hakuna jipya kutoka kwao. Yupo bwana ardhi anasema hao ni wenzetu

Takukuru Tanga wanakatisha tamaa wapinga rushwa,hawajui maana ya kutunza siri wanasaliti kazi yao,ubinafsi umewajaa baadhi ya watumishi
Unajua mnyonge mnyongeni na haki yake mpatie, msisahau hawa TAKUKURU wanafanya kazi nyingi nzuri pia na hapaswi kufanya kwa mujibu wa sheria yao. Mi nadhani Kuna malalamiko mengine yanatakiwa kuangaliwa kabla ya kulaumu.

Hapa umelalamikia kuhusu ardhi ambapo TAKUKURU hawahusiki, lakini pia haujataja kosa la rushwa lililotendeka katika kuuzwa kwa ardhi hiyo mara mbilimbuli.

Ipo haja ya hawa TAKUKURU kujikita kwenye maswala ya rushwa pekee, alafu hayo malalamiko ya ardhi, ndoa, mikopo umiza n. k, yapelekwe sehemu husika ndipo mtawakumbuka hawa TAKUKURU.
 
Kiwanja kuuziwa wamiliki wawili tofauti na mtumishi wa ardhi unasema hapana rushwa hapo?
Mtu akifuatilia haki zake anawekwa ndani na Takukuru, je hiyo imekaaje
 
Kama zipo wilaya ambazo zina kila aina ya rushwa Tanga imo tena kwakiwango cha juu
TAKUKURU ambao wanaungana na wahalifu Tanga jiji wanatia fora.
TAKUKURU kwa Tanga ni Taasisi ya Kukuza na Kupalilia Rushwa.
 
Back
Top Bottom