mpya

  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kazi ya kudai katiba mpya sio lelemama, makamanda mjiaandae kunyea ndoo lupango

    "Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi: Katiba ya 1977 ni analogy, Katiba mpya ni hitaji

    Katika kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na star TV katika mahojiano yao,moja ya swali ilikuwa je Katiba mpya ni muhimu? Wanaharakati; Ndiyo,Katiba mpya ni muhimu na ni hitaji kwakuwa kizazi kiko mbele ya Katiba ya 1977(analogy) inahitajika katiba ya kidigitali.
  3. Gorgeousmimi

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo mpya za siku hizi mnazionaje?

  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

    Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na tozo mpya katika miamala ya fedha kwa njia ya simu kwa uchumi wa nchi yetu

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ibada ya Hajj yafanyika kwa utaratibu mpya kufuatia COVID-19

    Maelfu ya mahujaji waliochomwa chanjo ya COVID-19 wamekusanyika mji mtakatifu wa Mecca kwa ibada ya Arafa, huku Wakizingatia umbali wa mtu na mtu na kuvalia barakoa wakati virusi vya corona vikiiathiri kwa mwaka wa pili mfululizo ibada ya Hijja. Ibada hiyo iliyokuwa inawaleta pamoja mahujaji...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Nashauri mchakato wa Katiba Mpya uanze Januari 2026, lakini Tume ya Katiba Mpya iundwe Januari 2022

    Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze January 2026 (umalizike October 2028), lakini tume ya katiba mpya iundwe January 2022. Tume huru ya uchaguzi ipatikane October 2023 (miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa October 2025). Vyama vya siasa viruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

    Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new! Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
  10. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

    Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena Somo la historia ya Tanzania lasitishwa Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote. Source ITV news ============== Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kukuza mtandao na kuwa waaminifu kutatuepusha na madhila ya tozo mpya ya CCM

    Ndugu zangu tupo vitani kwa Sasa, Vita hii ni Kati ya watawala wanaolishwa na Kodi zetu dhidi ya watawaliwa. Familia chache zinazotawala nchi hii zimetuletea Kodi kubwa pamoja na tozo huku wakijinadi kwamba TUTAZOEA TU. Hatuna budi kushikamana na kupeana mbinu zakushinda Vita hii, nawaletea...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali. Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

    Habari! Hii mada haina uhusiano na uchochezi. Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya? Katiba inaruhusu mikutano ya...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Sijapendezwa kabisa na kufurahishwa na Jezi mpya za Barcelona

    Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman. Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22 kwasababu ya msalaba kifuani upande wa kulia. Barcelona itambue ina mashabiki wengi wa imani...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wadai katiba mpya wote: Hakuna njia rahisi ya kupata katiba duniani

    Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili ambayo wanasema hakuna haja ya katiba sijui tusubiri kwanza. Niwaambie wote tunaopigania katiba mpya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Hayati Magufuli na Tanzania Mpya

    Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ni mzaliwa wa chato mkoani Geita, pia alikuwa mbunge, naibu waziri na waziri katika nyakati tofauti, tofauti enzi la utawala wa Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya kikwete, hatimaye mnano mwaka 2015 alijitosa kugombea urais wa jamhuri ya...
  18. NnkoJR

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo mpya zinauma, lakini zinaweza kuwauma CCM,upinzani ukasongesha

    ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli mbalimbali za kibinafsi na hata maendeleo yao. Hii ni kutokana na kuanza kutekelezwa rasmi kwa tozo mpya...
  19. Counsel Jr

    JamiiForums Tanzania Serikali na Tume ya Warioba walichokisema juu ya Katiba Mpya

    Habari wanajukwaa na Watanzania wote kwa ujumla? Nachukua fursa hii adimu kwanza kumshukuru Mungu wa rehema! Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa muda sasa Tanzania tuliingia katika mchakato wa Katiba mpya jambo ambalo mpaka leo halijazaa matunda siyo kwasababu pengine wahusika wa jambo hili...
  20. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru: Kwanini Katiba Mpya?

    Habari Tanzania! Naomba kuuliza wapenda nchi eti kwa muda wote huo wa umri wa nchi miaka 60 ndio tutake KATIBA MPYA? Kwanini kwa miaka yote 60 eti ninyi mnawaza maendeleo tu yasiyo kikomo au kuakisi mahitaji? Kwanini hawa wapenda siasa na waishio ndani yao wanapenda kuaminisha UMMA yakuwa...
Back
Top Bottom