Mimi ni mdau ambaye natamani katiba mpya lakini sio wakati wake. Kwenye janga la Corona na baada ya kimpoteza Raisi huwezi kudakia katiba mpya maana watu watakuwa wanajadili wakiwa na matatizo mengi sana mengine vichwani.
Ushauri wangu ni kwamba vitu ambavyo wanaweza kufanya bila katiba mpya...
Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi.
Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie kujibu maswali haya
Ni kweli tumekuwa na katiba isiyokidhi matakwa yetu hususani katika mizania ya...
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi.
King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters
Thousands of...
Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama.
Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
Chombo cha “Shenzhou” No.12 cha China hivi karibuni kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga watatu kwenye anga ya juu. Baada ya kuunganisha chombo hicho na behewa la Tianhe lililorushwa angani mapema, wanaanga hao waliingia kwenye behewa hilo. Hii ni mara ya kwanza kwa Wachina kuingia kwenye kituo cha...
Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao.
Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa...
Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania.
Moja kwa moja kwenye.
Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni.
Kama mjuavyo wengi tunaofutilia mambo nchini Tanzania. Kumeibuka vuguvugu la kudai katiba mpya Tanzania. Mimi...
Habari Tanzania!
Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za chaguzi za Kiserikali hususani kupitia siasa. Mfano; Wenyeviti wa vijiji/ Mitaa, Madiwani, Wabunge...
Nimepita katika U Turn ya Shekilango kurudi Ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town.
Hakika Mama yangu Rais Samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde katika kila hatua yako.
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
Wakuu,
Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya.
Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu ya mambo yahusuyo sheria na uendeshwaji wa nchi.
Katiba ni mjumuisho wa taratibu, sera, sheria na...
Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli..
Katiba katiba
Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha.
Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa.
Dunia inaongozwa na wasomi na ndio maana ina maendeleo.
Leo kuna ndege, meli, umeme, kuna magari...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango (extent) tu.
Ni dhahiri kuwa mchakato huu usiporuhusiwa kwa hiari, mashinikizo yatafuata. Huu ndiyo...
Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya.
UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji.
Ile sherehe mliyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.