ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza.
Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
Nawasalimu kwa jina JMT
Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi.
Vifaa.
1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles
2.Gloves
3.Mask
4.Viatu vya kufinika miguu.
5.Brash ngumu kubwa na
ndogo.
NAMNA YA KUSAFISHA
Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
Wakuu Kwema!
Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.
Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?
Karibuni tujadili.
Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa.
Leo ameingia...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.
Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza kadri inavyowezekana.
Vipeperushi vieleze mapungufu yaliyoko katika katiba ya sasa na hatari au...
Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM.
Wakati...
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.
[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu...
Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa.
Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
Habari wanaBodi..
Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana.
Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba siyo kila kitu, tunaweza kuwa na Katiba mpya lakini isibadilishe maisha ya raia.
Ubinafsi wa Wanasiasa...
Habari wadau?
Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA
Na, Robert Heriel
Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba.
Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo;
1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani
2. Wanasiasa upande wa Zanzibar.
3...
Vimbelembele au vihio vya CCM vinasambaza itikadi mbaya sana eti kila kitu cha Katiba wanakielekeza kwa CHADEMA.
Faida ya Katiba mpya ni faida kwa Tanzania wote tena jambo hili halihusiani na chama chochote, kama Mtanzania Mzalendo ni haki yako kutaka au kudai au Kutodai.
Suala la katiba mpya...
Facts
- Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za kisheria na kiutawala zilizopo sasa.
- Ni wazi kuwa wazanzibari wengi (Mh. Rais akiwemo)...
Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.
Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko.
Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba mpya dhidi ya iliyopo yenye mapungufu hakuwezi kuwa ni chokochoko.
Hoja hupingwa kwa hoja.
Katiba...
Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema.
Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani?
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi kupitia Kodi zetu.
Naamini Mwenyenzi Mungu alipowapa nafasi yakuosoma wakawa na mawazo mapana dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.