mpya

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya
  2. JamiiForums Tanzania Mmiliki mpya wa Chelsea akutana na wakala wa Ronaldo

    Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno. Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
  3. JamiiForums Tanzania Jamaa anasa dis train ya Katiba Mpya kwa mbele ya behewa

  4. JamiiForums Tanzania Naomi Osaka kuja na Kampuni yake ya Mawasiliano ya HanaKuma

    Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi. What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It? Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY HanaKuma, according to Osaka, means “flower bear” in Japanese; and while that sounds cute and all, it has a...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama aagiza utekelezwaji wa ajira mpya kuanzia Julai, 1

    Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanawacheza mchezo gani haswa? Maana hata iweje hawana nia na Katiba Mpya kabisa

    Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali Sasa CCM ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Vipi ikatokea Spika Tulia akija na mbinu mpya? Wamekata Rufaa, nasubiria majibu ya rufaa huku muda ukisogea mara 2025 hiyoo

    Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje? wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see britanicca
  8. JamiiForums Tanzania CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

    Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema "SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
  9. JamiiForums Tanzania Awamu ya tano ni chachu ya uharaka wa Katiba Mpya

    Hakuna mtanzania mpenda haki anayetamani kuona katiba hiihii tuliyonayo inakutwa na kutumiwa na kiongozi anaefanana hata kwa nusu tu na yule kiongozi wa awamu ya tano (RIP). Awamu ile ni sawa na kusema kuwa nchi ilikuwa imetekwa na watu kutoka sayari nyingine. Ni katiba ambayo kila mtu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

    Ndugu zangu watanzania, Salaam Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM! Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...! Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  12. JamiiForums Tanzania Pamoja na suala la Katiba Mpya, Halmashauri ya CCM ilipaswa kujadili hujuma dhidi ya mradi wa JNHP, bei za mbolea na mafuta ili waliohusika wakamatwe

    Ninashangaa sana kusikia eti katiba mpya imekuwa ina umuhimu sasa hivi wakati kuna kikosi kazi kilisema mpaka mama akishinda uchaguzi wa 2025 ndio mchakato uanze. Sio mbaya maana sasa ni hitaji la kitaifa na mchakato uanze mapema, lakini kwa nini CCM wabadili gea? Mbona masuala ya msingi kama...
  13. JamiiForums Tanzania Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  14. JamiiForums Tanzania CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote. ==== 1...
  15. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya CCM: Maridhiano ya kitaifa, Mchakato wa Katiba Mpya, Uteuzi, Pongezi kwa Rais Samia na Mwinyi

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma kimetoka na maazimio yafuatayo kwa masilahi ya taifa. 1...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
  17. JamiiForums Tanzania Ngorongoro na Loliondo ni ushahidi mpya wa uwepo wa wanasiasa uchwara

    Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa. Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
  18. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Simba kuwasili usiku huu

    Kuna taarifa zimenifikia kuwa kocha mpya wa simba atawasili usiku huu nchini. Je, kocha huyo ni nani? Tuvute subira
  19. JamiiForums Tanzania Kelele za mchakato wa Katiba mpya kuanza na spidi ya ufisadi ikitamalaki kabla ya upatikanaji wake!

    Watanzania! Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo! Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe! Wakati kelele za mchakato wa Katiba mpya zikipigwa hadi kikosi kazi feki kikaitishwa Ili ku spin mchakato usianze mapema na...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu Koffi Olomide wana Simba SC tumemkosea nini hadi Kututusi Tusi la Nguoni katika Wimbo wake mpya wa Acquitte?

    Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…