mpya

  1. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanajua kutengeneza ajenda, Katiba Mpya imekuwa ajenda kuu ya Taifa

    Baada ya uchaguzi mkuu uliovurugwa, think tank ya Chadema iliona njia nzuri ya kulazimisha hayo yasitokee tena ni kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya. Leo kila chama ajenda kuu ni katiba mpya. Kwa hali ilivyokuwa miaka 5 iliyopita nani alijua leo rais atahudhuria sherehe ya ‘Sugu’, nani...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni wa wakati wa kudai katiba mpya. Hii ya sasa imempa madaraka makubwa rais wa JMT haifai kabisa. Mmesahau yaliyomkuta Mwamba mpaka akalia machozi

    Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando. Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi. Tupate katiba...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

    Wanaukumbi. Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya? Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa? Anakenua tu… Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga...
  4. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Utumishi zinachanganya. Matangazo yametoka mawili, lipi ni sahihi?

    Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo: Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057. So...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari unapopokea simu za watu usiowajua/kutoka namba ngeni

    Ulaghai wa simu ni jambo ambalo hadithi zake tunazisikia kila siku toka kwa watu wanaotuzunguka. Mara nyingine, sisi wenyewe tunajikuta tukiwa waathirika. Ulaghai huu unaweza kumgharimu mlengwa kwa kiasi kikubwa, wakati mwingine hata akiba ya maisha. Kwakuwa sote tunatumia vifaa hivi kama...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isituwekee link au mfumo wa kimtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu Katiba Mpya

    Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kikosi kazi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

    Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo...
  8. Poker

    JamiiForums Tanzania Hii fashion mpya ya Harmonize ni nzuri apewe sapoti!

  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

    Wanaukumbi. CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani. Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961. Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993? Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

    Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka.... Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

    Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

    Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga. Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania The state: Hakikisheni kwenye Katiba Mpya, mishahara na posho za kwenye siasa zinapunguzwa Sana na kuelekezwa kwenye miradi ya umma

    Wakuu Binafsi sielewi ni nani HASA alieamua kuwa kazi ya siasa ndio iwe na malipo na posho kubwa sana kuliko taaluma nyingine yeyote hapa nchini. Wataalamu wa taaluma mbali mbali wameacha kada zao na kukimbilia siasa kuliko kujikita kwenye taaluma zao na kutuhudumia wananchi! maprofesa wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zasaini mpango mpya wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni

    Serikali za China na Tanzania jana Alhamis zilisaini mpango mpya wa 2022-2025 wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni unaolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili kwenye nyanja mbalimbali. Kwa mujibu wa ubalozi wa China nchini Tanzania, mpango huo uliosainiwa jijini Dar es Salaam na...
  15. abudist

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kingereza cha mtaala mpya kwa wanafunzi kuelewa kingereza kwa urahisi zaidi!

  16. T

    JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya katika mazingira ya sasa ni sawa na kuihujumu katiba mpya

    Mchakato wa kudai katiba mpya ni mchakato muhimu sana, ambao kwa maoni na mawazo yangu ni muhimu ufanyike kukiwa na elimu kubwa sana ya uraia miongoni mwa wananchi. Kwa bahati mbaya wanasiasa wanatuaminisha kitu ambacho hakiwezekani. Kwa namna katiba inavyodaiwa sasa ni kana Kwamba litakaa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuanzisha dini mpya? Naomba maoni

    Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa. Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo wapiga ‘U Turn’, nao wataka Katiba Mpya Kwanza

    ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA. Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee...
  20. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya ''wawaliza'' wanawake

    Dar es Salaam/ Kilimanjaro. Ni wimbi jipya la utapeli. Hutokea pale baadhi ya wanawake wanapolazimika kuwalipa fedha waliokuwa wapenzi wao, ili wasisambaze picha zao za utupu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Wimbi hili linaelezwa kuwakumba wajane, wanafunzi vyuoni na wake za watu, ambao...
Back
Top Bottom