mpya

  1. M

    Mtoto yupo Form 1 na likizo imeisha, Je arudi shule ya boys inayoshuka namba 1 hadi 3 kimkoa au ahamie mchanganyiko inayoshika nafasi ya 4 hadi 6?

    Umri ni miaka 14, Mtoto ana uwezo mzuri darasani wala sina shaka juu ya uwezo wake. ana uwezo wa ziada wa kulisakata gozi (mpira) Shule ya msingi alisoma mchanganyiko ya kutwa. Katika likizo hii ya wanafunzi wa sekondari, nilipata wazo la kumpeleka mtoto kufanya interview katika shule ya...
  2. Jul

    Mkanganyiko wa matumizi ya barabara mpya za Mwendokasi na kukunja kulia, Nyerere road (Barabara ya Airport)

    “Napenda kuwasilisha hoja kuhusu utekelezaji wa alama za barabarani katika maeneo yenye miradi mipya ya miundombinu, hususan BRT. Kwa sasa, magari ya kawaida yameruhusiwa kutumia barabara ya mwendokasi kutokana na huduma ya mabasi ya BRT kutokuwa imeanza rasmi. Hata hivyo, inaelezwa kuwa alama...
  3. A

    KERO TAMISEMI inaajiri bila kuwa na bajeti? Kilio cha stahiki ya ajira mpya Halmashauri ya Bumbuli kina mwaka sasa hakuna majibu

    Halmashauri ya Bumbuli haijalipa posho ya kujikimu kwa ajira mpya tangu Mwaka 2025 Mwezi Februari, watu wanamaliza mishahara kulipia deni waliloahidi kupewa mwaka mmoha uliopita, kibaya zaidi hakuna maelekezo yoyote. Inamaana TAMISEMI wanaajiri watu bila kutoa bajetI za watumishi na ukizingatia...
  4. Blasio Kachuchu

    Ushirikiano wa PigaBet na Fountain Gate FC Watoa Mwanga Mpya kwa Soka la Ndani

    Dar es Salaam — Kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet imetangaza rasmi kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya Fountain Gate FC wenye thamani ya Shilingi bilioni 1, hatua inayotarajiwa kuongeza nguvu katika maendeleo ya soka nchini Tanzania. Ushirikiano huo umetangazwa jijini Dar es...
  5. A

    KERO Kipi kinakwamisha Ajira Mpya Halmashauri ya Itilima (Simiyu) kutothibitishwa kazini tangu 2024?

    Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini. Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto, maana mwanzo walidai madiwani hawajaapishwa ila sidhani mpaka leo hiyo inaweza kuwa sababu ya watumishi...
  6. ubuntuX

    Mashine ya Kuchanganya Unga (Dough Mixer) 12KG – Mpya 🔥

    Unatafuta mashine imara na yenye nguvu kwa ajili ya biashara ya bakery au mgahawa? Hii ni mixer ya unga ya kilo 12 (DAFF type) inayofaa kwa matumizi ya kibiashara. ✅ Specifications: Uwezo: Kilo 12 za unga Aina: Spiral dough mixer Material: Stainless Steel Umeme: 220V / 50Hz Nguvu: Motor yenye...
  7. Tanzania Railways Corp

    SGR kuvuka mipaka: Mawaziri wa Tanzania, Rwanda na DRC wakutana kuweka mustakabali mpya kiuchumi

    https://youtu.be/03vJQKnKpZ4
  8. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  9. Mshana Jr

    Je AI inaweza kuwa dini mpya?

    Wazo la Akili Unde (Artificial Intelligence - AI) kuwa kama "dini mpya" limezua mjadala mkubwa duniani, likigusa hisia za kiimani, kifalsafa, na kiteknolojia. Ingawa wengi wanaiona AI kama zana tu ya kazi, kuna mambo yanayofanya ionekane kuwa na sifa zinazofanana na imani za kidini: na tayari...
  10. A

    KERO Halmashauri ya Busega, ajira mpya tunakatwa vyama viwili

    Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya. Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
  11. A

    KERO Ajira Mpya TAMISEMI Sumbawanga tunalia njaa, tusaidiwe fedha zitoke, tukihoji HR anakuwa mkali

    Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona yanaumiza sana. Kinachumiza zaidi ni kwamba HR wa Manispaa ni mkali kama pilipili alituambia siku...
  12. Tanzania Railways Corp

    Tanzania yaandika Historia mpya kwenye Sekta ya Reli!

    Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla. Kiteknolojia Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa...
  13. K

    Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  14. Hance Mtanashati

    Utapeli mpya kwa mafundi, kuweni makini

    Huu uzi unawahusu mafundi aina zote haswa mafundi ujenzi. Usione watu wana miliki nyumba zaidi ya 10 ukadhani zote wamejenga kihalali kumbe nyuma ya pazia kuna uchafu umefanyika kukamilisha ujenzi huo. Mchezo upo hivi, tajiri atakuita vizuri atakupa kazi na mtaanza vizuri tu mwanzoni , ila...
  15. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  16. Echolima1

    Kuna Habari za kusikitisha kuhusu Mojtaba Khamenei kiongozi mpya wa Iran!!!

    Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
  17. Vien

    Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  18. I

    Kiongozi mkuu mpya wa Iran Mojtaba Khamenei inasemekana yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile. Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
  19. I

    Kiongozi mpya wa Iran amejeruhiwa na kuna uwezekano kalemazwa.

    Kiongozi mpya wa Irani "amejeruhiwa na kuna uwezekano kulemazwa," Hegseth amesema katika mkutano wa hivi punde wa Pentagon. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Pete Hegseth alianza mkutano wake na Pentagon Ijumaa akisema kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei "amejeruhiwa na kuna uwezekano wa...
  20. A

    KERO Watumishi Ajira Mpya Halmashauri ya Ubungo hatujalipwa tangu Juni 2025

    Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
Back
Top Bottom