mpira

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vijana Ujasiriamali sio Muhuri wa utajiri: Mafanikio yake hayana utofauti na ya mwajiriwa, mkulima, mwanasiasa, mwanamuziki au Mcheza mpira

    Nimecopy na kuileta humu Naomba unisikilize na unielewe vzr sana. Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite...
  2. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na yanga ni zile stori za utotoni ntaenda kukusemea kwa mama muacheni Morrison acheze mpira Simba

    Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja... Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini. Yanga bwanaa Au kisa Ni ile pasi ya morisson kumpa chama na chama kumpasia mfungaji kwa kisigino. Natamani kuona vilabu vyetu...
  3. Slim dady

    JamiiForums Tanzania Sometimes waandishi wetu nao wanachangia kutoendelea kwa Mpira

    Kuna habari iliyokuwa mtandaoni inayotrend kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba wamepigana mazoezini kabla ya mechi ya fainali ya ngao ya jamii, Nao waandishi wa habari bila kufanya tafiti wakaipeleka hewani hoyo habari bila kuifanyia utafiti Wakaongea na meneja wa Tim akawaambia hilo jambo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tusilazimishe matokeo, mpira ni mchezo wa wazi

    Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa. Kwa sababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata filimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde. Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe...
  5. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania MO Dewji akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino, amkabidhi jezi ya Simba SC

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika. Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
  6. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Hata Pele amestaafu kucheza mpira lakini kuna wakati hupiga danadana

    Jamaa mmoja alikuwa ni mlevi wa kupindukia wa pombe za kienyeji,ikafika wakati akaamua kuacha kunywa pombe na kuithibishia jamii kwamba yeye na pombe basi tena. Siku moja baada ya muda mrefu kuacha ulevi, alikutwa bara anakunywa bia.Kwa mshangao jamaa wakamuuliza "wewe si ulisema umeshaacha...
  7. Sibonike

    JamiiForums Tanzania Wakisajili ni sawa, ikisajili Yanga eti inatakatisha fedha kupitia mpira

    Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba. Imasikitisha sana. Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana. Mtulie hivyo hivyo. Hiyo ilikuwa trailer. Movie yenyewe bado.
  8. The Boss

    JamiiForums Tanzania Huu ni mpira wa kishamba sana

    Kuna wakati inabidi tuachane na ushabiki wa wa hizi timu za kariakoo na kukosoa bila ushabiki Kinachoendelea ni ushamba Na hakipaswi kabisa kushabikiwa. Simba kujaribu kumchukua Morrison ni ushamba sana. Yanga kumchukua CEO wa Simba ushamba pia sana, sana. Hii vita ya kukomoana ushamba...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hawa wametupiga palepale penye mshono. Naacha kabisa mpira huu

    Morrison ndo alibaki kuwa nembo yetu Jangwani. Tuliaminishwa kuwa amesinya. Kama ambavyo tuliaminishwa Tshishimbi amesinya kumbe bado 😭😭😭😭 Inauma sana kila nikifikiria huwaga ninalia. Inauma sana unyama wanaotufanyia hawa wanyama Simba, huu si ustaraabu wangechukua hata wachezaji watano Yanga...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Watangazi bora wa mpira wa miguu Radioni/Tv

    Hawa ndio wanastahili tuzo za umahiri katika kutangaza mpira redioni au kwenye Televisheni 1. Jesse John 2. Baraka Mpenja 3. Urrasa
  11. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa (RIP) aliomba Tume Huru anazawadiwa Kiwanja cha Mpira

    Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza. Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wabongo na mpira ni kiboko!

    Sasa naamini, ukitaka kuwateka Watanzania, basi wekeza katika mpira. Mi na mpira mbali mbli. Jana tulikuwa na uchaguzi wa kumpata mgombea wa urais kupitia CCM. Hata alipoteuliwa Mh JPM nderemo ziliishia ndani ya ukumbi. Leo Yanga kapigwa goli 4 kwa moja alilomfunga Simba, nderemo ni kila...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Shomari: Wapinzani Tanzania wamepotezana kama timu ya mpira iliyoelemewa

    Kama kawaida yake Mzee Shomari anauza kahawa huku siasa ni mjadala mkubwa kwenye kijiwe chake. Na ndio maana watu wanamkubali maaana yeye anakutana na wanachi moja kwa moja, tofauti na Chadema na ACT wazalendo ambao wanategemea mitandao kueneza uongo na uzandiki. Mzee Shomari anasema wapinzani...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Asante sana Molinga, Tp mazembe sio wajinga kumsajili Ulimwengu japo kwa Tz hajui mpira tunamponda

    Kama mwanayanga nasema asante sana molinga TP Mazembe ni timu kubwa sana.. katika kikosi chake cha mwaka 2020 kuna mchezaji kama molinga.. mtanzania.. ana mwili mkubwa na watanzania tunamsema sana kwamba ulimwengu ni mzito , nyama uzembe na hajui mpira. Cha kushangaza huyo huyo ulimwengu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Naomba mtandao wakustream mpira live

    Kama ulivyosoma kichwa Cha habari naombeni mtandao mzuri ambao ausumbui Wala kukatakata wa kustream mpira mwenye kujua anisaidie.
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 24: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu hizo za Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020...
  17. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Mjue Mchezaji mpira Jean Pierre Adams ambae bado yupo kwenye COMA kwa takriban miaka 38

    BADO AMELALA. Wakati tunaendelea kufurahia kuzinduka kwa mchezaji wa Ajax ABDELHAK NOURI baada kuwa kwenye Coma kwa takribani miaka miwili akiwa amepoteza fahamu, tukumbuke pia kuna mchezaji mwingine 'Bado amelala'. Anaitwa Jean-Pierre Adams, nyota wa zamani wa PSG na timu ya taifa ya...
  18. Mngurimi

    JamiiForums Tanzania Niombe sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, zichukuliwe takwimu kubaini ni klabu gani ya mpira yenye mashabiki wengi Tanzania

    Habari za wakati huu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mara nyingi katika vyanzo mbalimbali vya habari na tambo za mashabiki wa mpira nchini, kumekuwa na majivuno baina ya mashabiki wa timu mbili hapa nchini (Yanga & Simba) ambao hujitapa huku kila shabiki akidai kuwa...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mkwasa: Wachezaji wa Yanga wamepoteza uwezo wa kumiliki mpira

    Kocha msaidizi wa Young Africans, Charles Boniface Mkwasa amesema amegundua mambo mawili, baada ya kuanza mazoezi ya kikosi cha klabu hiyo jana jioni. Kikosi cha Young Africans kilianza mazoezi ya kwanza jana jioni katika uwanja wa shule ya sheria, jirani na kituo cha daladala cha Ubungo...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kuotea (Offside) Kwenye Mpira wa Miguu

    Nimepeleka barua FIFA kuwataka waondoe sheria ya Off-side kwenye mpira wa miguu ila kupunguza mzigo kwa washmabuliaji bali kuhamisha mzigo huo kwa walinzi. Offside imekuwa inatumiwa vibaya sana na timu nyingi. Mnaonaje wapenzi wa mpira wa miguu
Back
Top Bottom