Hakuna ubishi jana tumeionyesha Afrika na Dunia kuwa sisi soka bado saana. Mambo machache niliyoyaona mimi kweny emchezo wa jana na ambayo yamekuwa yakijirudia rudia:
1. Wachezaji hawana kabisa misingi muhimu ya uchezaji mpira mfano jinsi ya kumiliki mpira, kufanya maamuzi yenye tija na malengo...
Kwa research niliyo ifanya mtandaoni hususani instagram, pamoja na radion (kupitia vipindi vya michezo) nimegundua watangazaji na wachambuzi wa mpira wengi wao ni YANGA. mf. pale wasafi sports Arena wote wale ni jangwani, EFM ukiondoa Ibrahim Maestro walio baki wote ni yanga, CLOUDS ndiyo...
Halafu tukiwa 'tunawakosoeni' mnatuona Sisi ni Wanafiki au Rangi Mbili au tuna Chuki nanyi au tunatumika na Mabeberu. Na Mimi wala sitochoka kuwaambieni ukweli na bahati nzuri Mimi ninayewasema ni Mwenzenu 'Kiitikadi' tena kwa 100% na hili wala silifichi au sioni 'haya' kulisema ( kuliweka wazi...
Nimecopy na kuileta humu
Naomba unisikilize na unielewe vzr sana.
Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki
Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite...
Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja...
Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini.
Yanga bwanaa
Au kisa Ni ile pasi ya morisson kumpa chama na chama kumpasia mfungaji kwa kisigino.
Natamani kuona vilabu vyetu...
Kuna habari iliyokuwa mtandaoni inayotrend kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba wamepigana mazoezini kabla ya mechi ya fainali ya ngao ya jamii, Nao waandishi wa habari bila kufanya tafiti wakaipeleka hewani hoyo habari bila kuifanyia utafiti
Wakaongea na meneja wa Tim akawaambia hilo jambo...
Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa. Kwa sababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata filimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde.
Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika.
Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
Jamaa mmoja alikuwa ni mlevi wa kupindukia wa pombe za kienyeji,ikafika wakati akaamua kuacha kunywa pombe na kuithibishia jamii kwamba yeye na pombe basi tena.
Siku moja baada ya muda mrefu kuacha ulevi, alikutwa bara anakunywa bia.Kwa mshangao jamaa wakamuuliza "wewe si ulisema umeshaacha...
Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba.
Imasikitisha sana.
Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana.
Mtulie hivyo hivyo. Hiyo ilikuwa trailer. Movie yenyewe bado.
Kuna wakati inabidi tuachane na ushabiki wa wa hizi timu za kariakoo na kukosoa bila ushabiki
Kinachoendelea ni ushamba Na hakipaswi kabisa kushabikiwa.
Simba kujaribu kumchukua Morrison ni ushamba sana.
Yanga kumchukua CEO wa Simba ushamba pia sana, sana.
Hii vita ya kukomoana ushamba...
Morrison ndo alibaki kuwa nembo yetu Jangwani. Tuliaminishwa kuwa amesinya. Kama ambavyo tuliaminishwa Tshishimbi amesinya kumbe bado 😭😭😭😭
Inauma sana kila nikifikiria huwaga ninalia. Inauma sana unyama wanaotufanyia hawa wanyama Simba, huu si ustaraabu wangechukua hata wachezaji watano Yanga...
Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza.
Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua...
Sasa naamini, ukitaka kuwateka Watanzania, basi wekeza katika mpira.
Mi na mpira mbali mbli.
Jana tulikuwa na uchaguzi wa kumpata mgombea wa urais kupitia CCM.
Hata alipoteuliwa Mh JPM nderemo ziliishia ndani ya ukumbi.
Leo Yanga kapigwa goli 4 kwa moja alilomfunga Simba, nderemo ni kila...
Kama kawaida yake Mzee Shomari anauza kahawa huku siasa ni mjadala mkubwa kwenye kijiwe chake. Na ndio maana watu wanamkubali maaana yeye anakutana na wanachi moja kwa moja, tofauti na Chadema na ACT wazalendo ambao wanategemea mitandao kueneza uongo na uzandiki.
Mzee Shomari anasema wapinzani...
Kama mwanayanga nasema asante sana molinga
TP Mazembe ni timu kubwa sana.. katika kikosi chake cha mwaka 2020 kuna mchezaji kama molinga.. mtanzania.. ana mwili mkubwa na watanzania tunamsema sana kwamba ulimwengu ni mzito , nyama uzembe na hajui mpira.
Cha kushangaza huyo huyo ulimwengu...
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM
Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu hizo za Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020...
BADO AMELALA.
Wakati tunaendelea kufurahia kuzinduka kwa mchezaji wa Ajax ABDELHAK NOURI baada kuwa kwenye Coma kwa takribani miaka miwili akiwa amepoteza fahamu, tukumbuke pia kuna mchezaji mwingine 'Bado amelala'. Anaitwa Jean-Pierre Adams, nyota wa zamani wa PSG na timu ya taifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.