mpira

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Mpira katika Redio za Tanzania tutaanza Kuwadharau sasa, Goli la Yanga SC lilikuwa halali kwa Uzembe wa Kipa

    Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio. Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo. Tumesikia maoni ya...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wadhamini wote wa mpira nchini wanazilenga Simba na Yanga, TFF lifahamu hilo

    Kila mtu, kampuni au taasisi yoyote inayodhamini timu yoyote inayoshiriki LigiKuu inafanya hivyo kwa kuzilenga Simba na Yanga ziwape faida kwenye biashara zao. Hata yule atakaetoa udhamini kwa timu ndogo kama Geita Gold lengo lake ni simba na yanga wamtangaze siku kitimu hicho kitakapocheza...
  4. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Kero za wanaokuja kutazama mpira bar

    Nyie mnaokuja bar kutazama mpira kuweni wastaharabu na muziki wetu, Sio mnakuja kukaa masaa mawili na soda zenu za buku na mnataka mziki uzimwe. Nendeni vibanda umiza.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

    VAR ije Tanzania ili iweje? Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside. Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Naota nacheza mpira kwa kiwango cha juu, nini tafsiri yake?

    Kuna ndoto inajirudia rudia mara ya tatu sasa . naota niko uwanjani nasakata kabumbu,mpira ninaocheza humo ni hatari,n aupiga mwingi sana sijawahi kucheza mpira kwa kiwango cha ushindani nikiwa kijana,sasa umri wangu siwezi kusajiliwa timu yoyote nimeshazeeka, Hii ndoto ina maana gani wakina...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Formation ya Simba kulingana na Mechi kwa sasa(Pablo ana option ya kuchenza aina tofauti tofauti ya mpira)

    Simba kwa sasa ni timu kubwa sana ukanda huu. Kikosi cha simba ni kipana. Kila namba ina watu wasiopungua wawili. Ninaanza kuleta kikosi na formation yake kulingana na uhitaji. Tunaanza na 4-2-3-1. Tukiwa tunacheza kwa namna ya kawaida.
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hatuna Watangazaji wa Kike wa Mpira Miguu?. Tanzania Alijitokeza Mmoja, Halima Mchuka, Leo ni Miaka 10 Toka Afariki, Kwanini Hana Mrithi?

    Wanaspoti Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka leo hujawahi kupata mrithi?. Tujikumbushe enzi zake Video kwa hisani ya Aboubakar Liongo. Soma...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Hakuna Kazi za Kike na za Kiume, Lakini Utangazaji Mpira Redioni, Ni Mwanamke Mmoja Tu Tanzania, Halima Mchuka.

    Wanabodi Kuna huu msemo, "Everything a man can do, a woman can do", kumaanisha hakuna kazi za kike na za kiume, kila kazi inayofanywa na mwanaume, inaweza kufanywa na mwanamke. Moja ya kazi rahisi sana ni kazi ya utangazaji, ila inahitaji kipaji. lakini kwa upande wa utangazaji wa mpira wa...
  10. moyo wenye aman i

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  11. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania na maendeleo ya Mpira Nchini

    Timu za Tanzania hasa Yanga, Simba na Azam zimejiimarisha sana kusajili wachezaji nyota kutoka nje ya nchi. Ingawa kwa kufanya hivyo kumeichangamsha sana ligi ya NBC mwaka huu, kinachosikitisha sana ni kwamba hali hiyo pia inadidimiza sana vipaji vya ndani, hivyo kuifanya Taifa Starts ibaki...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vitambi kwa viongozi wa mpira sio uanamichezo.

    Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini wake kwenye tasinia ya michezo. Kifupi hafai kuwa kiongozi wa timu wala chama cha michezo, maana...
  13. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Morocco - Algeria and Egypt, wenye mpira wao

    Bandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana 😀 pira limepigwa acha kabisaa, nina uhakika hawa magiants + Pharaoh watafika mbali mno nchini Qatar/World Cup, na...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

    1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira? 2. Tofauti...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Ndugulile aipongeza TFF kwa kujenga Kituo cha Maendeleo ya mpira wa miguu Kigamboni

    DKT NDUGULILE AWAPONGEZA TFF KWA KUJENGA KITUO CHA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU KIGAMBONI Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekipongeza Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kujenga kijiji cha maendeleo ya mchezo mpira wa miguu katika Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya...
  16. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Kocha wa mpira

  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Leo nimeota nacheza Mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Hii ina maana gani?

    Habarini wakuu, Leo nimeota ndoto ya ajabu, naiita ya ajabu kwasababu ni mambo ambayo sipendi kuyafanya kwasasa japo nilikua nikifanya zamani. Nimeota nacheza mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Japo mara ya mwisho kucheza mpira ni miaka kumi iliyopita. Ndoto ilianza hivi...
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe ni kama timu ya mpira iliyozidiwa, wanataka goli la mkono

    Hapo vipi!! Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana. Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama. Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali. Ninachokiona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Bora kunywa gongo na viroba kuliko ushabiki wa mpira madhara ni makubwa zaidi

    Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA) Umesababisha uvivu uliokithiri hasa mikoa ya pwani na baadhi ya miji ya mikoani Umesababisha wanafunzi, watoto wadogo kuanzia...
  20. changaule

    JamiiForums Tanzania Nawauliza Washabiki wa Simba, je mmeona ugumu wa kutumbukiza mpira wavuni?

    Ukiona Yanga wanapata goli moja msiwabeze kwa kuwaona wabovu kwa kushinda goli moja moja. Kutumbukiza goli wavuni na kupata point tatu sio kazi ndogo. Simba imecheza dhidi ya Biashara wakahaha kutumbukiza mpira wavuni lakini wapi mpaka refa akawapa penati lakini boko akawabokoa kwa kukosa...
Back
Top Bottom